Naamini siku ya jana iliisha vyema kwenu, lakini pia nawapa pole waliotumia mali na miili yao vibaya na sasa wanajuta baada ya akili kurudi.
Naomba niulize; zipi ni tamu na chungu za kuoa/kuolewa ili nijue nakabiliana vipi na ndugu na jamaa wanaotaka nioe.
Karibuni