chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Moshi

    Wakuu natafuta chumba Moshi maeneo ya karibu na KCMC..Chumba chenye choo ndani. Bajeti yangu ni 70k-90k kwa mwezi. Mwenye connection tafadhali naomba msaada
  2. JamiiForums Tanzania 1786 kulikua na shreia na taratibu za kufuata ukichukua chumba Guest House

  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Coastal Union hawakuingia kwenye chumba rasmi cha kubadilisha jezi?

    Nafahamu kuwa mguto ni kiongozi wa bodi ya league na coastal union pia, lakini kwanini ameruhusu ili jambo?
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Ikwilili

    Kama heading inavyojieleza, nakuja Ikwilili kuyasaka maisha. Nimevutiwa na uchangamfu wa hiyo center. Mwenye connection anijulishe
  6. JamiiForums Tanzania Anayetafuta nyumba au chumba cha kupanga Dodoma

    Kwa mgeni au mwenyeji wa Dodoma mjini, mwenye uhitaji wa chumba au nyumba ya kupanga ani PM kwa mawasiliano zaidi
  7. JamiiForums Tanzania Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

    Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408. -- Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS): 1. Chumba cha walinzi...
  8. JamiiForums Tanzania Chumba self contained karibuni

  9. JamiiForums Tanzania Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

    Asee mimi sharti la kijinga lilikua ni kusema kama unataka kuongeza mkataba wa kupanga miezi miwili kabla ya muda kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. JamiiForums Tanzania Visa vya mapenzi visivyosahaulika

    Nikiwa nimemaliza kidato cha nne miaka ya 2000's kweusi nikawa nimechill tu home hakuna ishu hakuna mpango, mjini hakuna mashamba. Kwa hiyo nikawa busy na mapenzi na by that time nilikua nimemzimia kwa binti mmoja hivi anakaa mtaa wa tatu tokea home. Tulikuwa tunapendana sana yaani hata...
  11. JamiiForums Tanzania Idea za kupanga chumba cha teenager

    Teenagers wengi bado ni wanafunzi wanahitaji sehemu ya kujisomea wakiwa nyumbani. Ni muhimu kuanza kumfundisha kusafisha na kupanga chumba chake kila mara hasa weekend. Haya ndiyo maandalizi ya kupanga nyumba yake miaka
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Ubungo

    Chumba 50
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  15. JamiiForums Tanzania Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

    Mara Nyingine number 13 watu huichukulia kama namba ya mkosi , Lakini tunajiuliza sana kwanini watu huchukulia namba 13 kama namba ya mkosi, yanayosemwa yana maana kubwa sana ndio maana leo hii katika 1.Hotel kubwa za kimataifa ukiangalia vyumba vyote kwa namba ukifika namba 12 wanairuka namba...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Chumba cha mabati

    Hizi nyumba za mabati sio nzuri ukitafuta usingizi unaskia panua niingize alafu unaskia masauti ya kutamanisha ukuta wa mabati unatingika. Wewe vile hijafanya mapenzi mda mrefu unapeleka maskio ndio uskie vizuri unasahau unalalia mabati unajipata kwa nyumba ingine kwa sababu mabati iliwekwa bila...
  17. JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini usipokuwa umeoa au kuolewa inakuwa ngumu kupata chumba cha kupanga?

    Kwanini usipooa/olewa ni ngumu kupata chumba cha kupanga? Lakini sio chumba tu; hata nyumba, ajira, na heshima?
  19. JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba na sebule inapangishwa

    Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule. Eneo: Mbezi Beach Bei Tshs 100,000/Mwezi Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu. Tuwasiliana: 0686648630
  20. JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba kimoja kinapangishwa Mbezi Beach

    Chumba kimoja, Choo cha nje. ------------------------ Maji ya dawasa, Umeme Luku yakuchangia, Uzio na usalama Upo. ------------------------ Bei Tshs 50,000 Kwa Mwezi Kodi ya Miezi 6 ------------------------ Wasiliana nasi: 0686648630 || 0716442950
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…