chuma

Chukwuma Julian "Chuma" Okeke (born August 18, 1998) is an American professional basketball player for the Lakeland Magic of the NBA G League. A power forward, he was drafted 16th overall by the Orlando Magic in the 2019 NBA draft. He played college basketball for the Auburn Tigers.

View More On Wikipedia.org
  1. danhoport

    DUNLOP: Sio tairi tu, ni uwekezaji wa usalama kwa chuma chako!

    Watu wengi wanapoulizia tairi, mara nyingi wanawaza bei kwanza. Lakini kama unajua thamani ya gari yako na usalama wa watu uliobeba, huwezi kuacha kuliwaza jina moja tu: DUNLOP. Kwanini mimi nawashauri watu Dunlop? Hizi hapa ni sababu chache za kishkaji: 1. Hawa ndio mabingwa wa historia Ukweli...
  2. Pdidy

    Kitunguu Saumu kinamsaidiaje mtu aliyeathirika na kujichua?

    KITUNGUU SAUMU kinamsaidia vipi muathirika wa nyeto 👇🏼 Kitunguu saumu kina allicin, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi. Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Chuma kilichoinyoosha CHADEMA mpaka ikapoteana.

    Happy birthday mamy . Nakuelewa sana mama Samia. Waliotaka kuufanya uongozi wako kama punching bag wameparaganyika. Hawaamini macho yao . Awe NABII, sheikh au mchawi yeyote atakayeinua kinywa chake kwa uovu juu yake amekwisha. Sitanii niko serious. Jiwe alizingua sana nikamwomba Mungu akamvuna ...
  4. Chizi Maarifa

    Watanzania msifanywe Chuma ulete na hawa Wasanii au watu wenu Maarufu

    Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika. Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
  5. Vincenzo Jr

    Petrol Stations za Dar es Salaam wanakataa kupima mafuta kwa wenye vidumu vya chuma!!

    Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri...
  6. let the caged bird sings

    Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

    Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE. Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake wameua na kuteka watu zaidi ya Mia tatu kwa kipindi cha miaka miwili. wametumia muda mrefu ila matokeo...
  7. darautobroker

    Car4Sale Toyota Hilux A.K.A Chuma cha reli ipo sokoni

    Bei/Price TSH 21.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA HILUX Year: 1996 Engine: 3 L Mileage: 120K Fuel: DIESEL Transmission: MANUAL Sport Rims Am/Fm Radio Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  8. N

    Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

    Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500 Maandazi 2000 Majani ya chai 100 Mkaa 1200. Watoto hawajala mayai miezi sita na mmoja ni mgonjwa...
  9. ndege JOHN

    Kula chuma hio:Nobody 2

    Bonge moja dude 2025 bwana hucth kaenda vacation kula bata na familia yake kaenda kuchokozwa na mamafia wa ki Russia wakamgusia familia yake kaona msinitanie ngoja niwashangaze kwa kuwapelekea moto.sio ya kukosa mazee
  10. GENTAMYCINE

    Kama una Stress zako tafadhali Kula Chuma hiki ziondoke

    Kudadadeki.............. Shikamooni Wakongo.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  12. M

    Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  13. M

    Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  14. bro alex

    Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Arusha miaka kadhaa nyuma ilikua ngome ya chadema Leo hii ni ccm damudamu Fullstop, kwishaaaa
  15. GENTAMYCINE

    CHADEMA: Hatuishindani na CCM, tunashindana na vyombo vya dola

    Cc: Lucas Mwashambwa and ChoiceVariable
  16. N

    Isuzu tipa chuma kipo kazini

    ,
  17. GENTAMYCINE

    Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
Back
Top Bottom