chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Tanzania Kuna chuki kubwa, upo umezekano tunauana kimya kimya

    Nimemsikiliza Mwingira, nimemsikiliza Nape,nikamsiliza WA zamani wa Jumuhia ya wazazi wa CCM, nimemsikiliza huyu mzee mwanajeshi mstaafu kiongozi wa organizashen ya mambo ya nje, nikamsikiliza Gwajima, nikaona ushahidi wa Makomandoo, nikaona namna sabaya alivyotesa, Makonda alivyotesa, Muro...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbatia acha kueneza chuki

    Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6. Msingi wa chuki zake zinatokana na swahiba wake Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Chanjo ya COVID-19 ilikuwa ni ya kupatia Mkopo? Sisikii tena

    Dr. John Pombe Magufuli was right. Inachukiza na kuumiza kuongea maneno haya sababu sikuwa na upendo kwake. But Ukweli ni kuwa He was Right. COVID-19 (Wabunge wa CDM waliopo Bungeni) ilikuwa ni biashara na itaendelea kuwa biashara. Watu ni kweli wapo waliofariki kwa ugonjwa huo. Sikatai but ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

    kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua. Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Utawala wa namna hii huwa 'nauchukia' na 'naudharau' mno

    Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021? GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala) wasio na 'Misimamo' na wanakuwa 'Kigeugeu' katika ama Matamko au Mwamuzi yao. Kama mnadhani hii...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

    Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu. wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao. Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua. Nani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kujiingiza kwenye siasa za chuki kuelekea uchaguzi 2025

    Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!! Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo. 1: Acheni...
  9. JamiiForums Tanzania Humphrey polepole na King msukuma figisu zenu za kumhujumu Rais Samia hazitawafikisha popote

    Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli. Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji masuala ya ajira mnatukebehi kwa maneno yaliyojaa kejeli na dharau kubwa Nakumbuka wakati humphrey...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Upako: Kwa akili hizi za siasa za chuki, kujilimbikizia mali na kutukana mabeberu hamtafika mbali

    Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi. Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za kijinga na zimepitwa na wakati. Sikiliza mwenyewe hapa. Jiwe limetupwa Gizani
  11. JamiiForums Tanzania Sina chuki na Wakenya ila nimejifunza haya katika kufanya nao kazi

    1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side. 2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane 3. Wanaroho mbaya ya uchoyo 4. Mbali na kingereza, hawako smart sana kama inavyofikiriwa 5. Wanapenda...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA chuki dhidi ya taifa lenu inatoka wapi? Kwa namna hii mnastahili hata kiti cha udiwani?

    Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo. Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila namna yakitokea mnakenua meno. Yametokea hapo K' nondoni mnafurahia na kopost furaha zenu kana kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi kugeuzwa kitega uchumi na baadhi ya Polisi ndio kumeleta chuki dhidi yao, wala sio masuala ya kisiasa

    Kichwa cha habari chajitosheleza Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa. Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

    Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe. Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

    Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake. Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anarudi zama za siasa za chuki au anawajibu wanaombipu?

    Kuna features kadhaa kuhusu matukio makubwa mawili yaliyojiri siku chache zilizopita, la kukamatwa Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine kadhaa wa Chadema, na kabla ya hapo, kukamatwa kwa wafuasi kadhaa wa chama hicho, matukio yaliyojiri huko Mwanza. Kwanza, hoja za jeshi la polisi na mkuu wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia...
  20. JamiiForums Tanzania DC Jery Muro unamchonganisha Rais na Wananchi. Kiburi na chuki zako zitakumaliza

    Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi. Jery Muro kauli zako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…