Nimekuwa nikisikiliza "clips" mbalimbali za Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mzee Mbatia hakika mtakubaliana nami kuwa mazungumzo yake yamejaa chuki kali dhidi ya Serikali ya awamu ya 6.
Msingi wa chuki zake zinatokana na swahiba wake Mbowe kufikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi.
Mzee Mbatia tangu siku ya kwanza Mbowe alipo fikishwa mahakamani hakuonyesha kuheshimu utawala wa sheria na alidiriki kutoa matamko kuwa Mbowe aachiwe huru.
Huyu ndio Mbatia asiye jali wala kuheshimu utawala wa sheria kisa eti swahiba wake kafikishwa mahakamni.
Ni vyema mbatia akajifunza kuheshimu Utawala wa Sheria, namshauri akae kimya kuhusu suala la Mbowe, aache vyombo vyenye mamlaka ya kikatiba vitimize majukumu yake.
Namshauri Mbatia aache kueneza chuki dhidi ya Serikali ya awamu hii 6, atumie demokrasia vizuri.
Namshauri Mbatia aache tabia ya kudharau mamlaka.
Mwisho namshauri Mbatia kama amechoka kufanya siasa ni bora akajiuzulu kuliko kueneza chuki na kudharau mamlaka.