Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,341
- 11,443
Dr. John Pombe Magufuli was right. Inachukiza na kuumiza kuongea maneno haya sababu sikuwa na upendo kwake. But Ukweli ni kuwa He was Right.
COVID-19 (Wabunge wa CDM waliopo Bungeni) ilikuwa ni biashara na itaendelea kuwa biashara. Watu ni kweli wapo waliofariki kwa ugonjwa huo. Sikatai but ni kweli hakukuwa na haja ya Lock Down. Hakukuwa na haja ya hofu.
Mbona hatusikii vifo hivyo kwa sasa? Je Takwimu zinafichWa? Wapo bila shaka wachache wanaofariki kwa huo ugonjwa but si kwa kutisha kama ambavyo tulitaka kujengewa hofu.
Barakoa hazivaliwi tena, kunawa mikono ni maamuzi tu. Chanjo haijapokelewa vyema na watanzania wengi mpaka sasa. Dr. Gwajima amepoa. Wameshindwa m prove wrong Ndugu Gwajima Male.
Mkopo wa Covid 19 ulishachukuliwa. Umetumikaje? Hatujui. Lakini tukubali mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Dr. J.Pombe Magufuli alikuwa sahihi.