chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matusi kwa Wasomi ni Ushindi au Chuki zilizozikwa kwa muda mrefu?

    Kuna kauli moja inasema hivi, Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji. Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu...
  2. JamiiForums Tanzania kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula Cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana.

    Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao...
  3. JamiiForums Tanzania Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuki wanazotengeneza Mgambo wa Ilala ipo siku watayaona matunda yake

    Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
  5. JamiiForums Tanzania Chuki iliyokuwa nchini hapa ni kubwa sana. Tunajiponyaje?

    Ukianza kwenye music kuna chuki hatari huyu haimbi na yule, yaani miaka 30 ya bongoflava watu wengine muhimu hawapo? Wamebanwa? Au kuna chuki Siasa nako ndio hatari Ndugu ndio usiseme Nchi hii itaonekana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  8. JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  9. JamiiForums Tanzania Chuki ni Mzigo Unaoubeba Mwenyewe, Sio Adhabu Kwa Unayemchukia

    Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe. Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima huku amebeba magunia mazito mgongoni. Atafika juu kweli, lakini kwa shida sana. Ndivyo ilivyo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  11. JamiiForums Tanzania Bifu la Millennials vs Gen Z: Je, ni Chuki ya Kweli au ni Mabadiliko ya Vizazi Tu?

    Habari za jioni wana-JF, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala na utani mwingi mtandaoni unaoonyesha kuwepo kwa mivutano kati ya kizazi cha Millennials (waliozaliwa miaka ya 1980 hadi katikati ya 1990) na Gen Z (waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1990 hadi mapema 2010)...
  12. JamiiForums Tanzania Online wars kwenye social media dhidi ya watu wa mataifa mbalimbali ni nyingi sana

    Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Sir Alex Ferguson anazeeka na chuki na wivu wa ajabu hadi leo?

    Nilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika fainali ya UEFA huku timu yake ukiwa inampa matatizo ya moto, japo imepata unafuu sasa hivi Hebu...
  14. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  15. JamiiForums Tanzania Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  18. JamiiForums Tanzania Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

    Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo? Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Huu mfumko wa bei Rais Samia hauoni, anatukomoa au ni chuki?

    Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!? Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme...
  20. JamiiForums Tanzania Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na kilichotokea October 29. Je ni wangapi miongoni mwetu, wajua kuwa chuki ikizidi ni ugonjwa?. Chuki ni ugonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…