choo

Shin-Soo Choo (Hangul: 추신수; Hanja: 秋信守; Korean pronunciation: [tɕʰu.ɕin.su]; born July 13, 1982) is a South Korean professional baseball outfielder and designated hitter for the SSG Landers of the KBO League. He has played in Major League Baseball (MLB) for the Seattle Mariners, Cleveland Indians, Cincinnati Reds, and Texas Rangers.
Choo was selected as the Most Valuable Player (MVP) and Best Pitcher of the WBSC U-18 Baseball World Cup as South Korea won the event. Choo signed a $1.35 million contract with the Mariners after the championship and converted to the outfield.
In 2018, Choo earned a selection to his first career Major League Baseball All-Star Game. During that season, he safely reached base in 52 consecutive games, the longest such single-season streak in Texas Rangers history. As of 2018, he led all active major league ballplayers in career hit by pitch, with 132.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    Leo nimetumia choo kichafu sana mjini baada ya kushikwa na tumbo, sijui nimepata wapi ujasiri

    Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote. Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
  2. Maleven

    Ni kweli kufunika sink la choo kwa paving au mchanga kunapunguza ubora wake?

    Naaanisha shimo, Kuna fundi amekuja home akaona shimo lote halionekani, akasema kitaalamu haifai maana paving au kufunika na mchanga kunahifadhi unyevu ambao unaharibu ubora wa cement hivo life span ya shimo inapungua, kuna mwenye kufahamu kuhusi hili? Mi nimelifunika lote
  3. BARD AI

    PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  4. P

    SoC02 Je, Donald Trump alikuwa sahihi kufananisha Afrika na tundu la choo?

    Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka Afrika. Hakika kwa mtazamo na hisia za kawaida kauli hii imesheheni udhalilishaji, dharau, ubaguzi...
  5. P

    SoC02 Huduma ya vyoo vya kulipia kwenye vituo vya daladala

    HUDUMA YA VYOO VYA KULIPIA KWENYE VITUO VYA DALADALA UTANGULIZI: Tukichukulia maisha ya mjini hasa miji mikubwa kama Dar es Salaam suala zima la mahitaji ya choo ni muhimu kwa jamii. Na karibu asilimia kubwa ya jamii ya wakazi wa mjini hasa miji mikubwa wanapata huduma ya choo. Hata hivyo mimi...
  6. Hismastersvoice

    Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  7. A

    Natafuta chumba, sebule choo na jiko Kigamboni

    Habari ya wakati huu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😥 Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti ya 150,000. Kiwe mazingira salama na ndani ya uzio(sitokuwepo muda mwingi) Maeneo ni Kigamboni...
  8. Nduna shujaa

    Wastani katika chumba kimoja cha darasa ni wanafunzi wangapi na choo tundu moja wanafunzi wangapi?

    Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120. Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
  9. D

    Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  10. Suley2019

    Usafi wa choo ni muhimu, Yafanye matumizi yake kuwa salama kwako na kwa wengine

    Choo ni moja kati ya sehemu muhimu katika makazi yoyote ya watu iwe nyumbani, Ofisini, sehemu ya biashara na maeneo mengine. Choo huweza kutumika kibinafsi (privately) au kijumuiya (Publicly) kutegemeana na eneo husika. Choo kinapotumika kibinafsi shida na changamoto inakuwa sio kubwa...
  11. Lycaon pictus

    Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

    Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa? Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
  12. Kipenzi Changu

    Kulipia huduma ya choo stend wakati umelipa getini ni jambo la ovyo

    Chukulia mfano wa bar, guest and chakula. Ukiingia sehemu hizo ukalipia huduma ya msingi basi huduma ya choo unaipata bure. Maana yake huwezi kulipia chumba gest halafu ukitaka kunya unalipia tena choo. Hali ni tofauti katika stendi za Magufuli, Nanenane na Msamvu. Bila shaka ile 200 nayolipa...
  13. The Sheriff

    Choo ni Zaidi ya Mahali pa Kuhifadhi Taka

    Uwepo wa miundombinu ya usafi wa mazingira kama vile vyoo unachochea afya kwa sababu vinaruhusu watu kutupa taka zao ipasavyo, kuzuia uchafuzi wa mazingira yao na kupunguza hatari kwao wenyewe na majirani zao. Duniani kote, watu wengi hawana huduma za vyoo, na hivyo kusababisha utupaji usiofaa...
  14. S

    Naomba kujuzwa gharama za shimo la Choo

    Poleni na majukumu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
  15. Mudi_kidato

    Mafundi wa kuchimba choo

    Kamaunaitaji mafundi wa kukuchimbia choo wapo hapa bei nafuu Fut 12×12 tsh lak3 Futi 12×10 tsh lak2na50 Futi 10×10 tsh lak 2 Tupigie 0752252123
  16. M

    Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

    Kulikuwa na suala la kupata ndege za kivita ili kupeleka Ukraine zikasaidie kupambana na Urusi. Nchi zote zikaingia baridi, halafu Marekani ikasema inafanya majadiliano na Poland ili ikubali kupeleka ndege zake Ukraine. Poland hakutaka kumkatisha tamaa Marekani, ila ikamwambia kuwa haiwezi...
  17. M

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na Urusi

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na URUSI. Mabeberu walimvimbisha kichwa, hata hakuweza kabisa kuheshimu makucha marefu ya URUSI. Malengo ya MAREKANI na NATO kwa ujumla ilikuwa ni kuitumia UKRAINE katika kujaribu kuidhoofisha URUSI. Ili kufanikisha...
  18. Acehood

    Sink la choo kuelekezwa upande wa mlango

    Wakuu hivi huu mfumo umekaa kitaalamu au ni mazoea tu, sink kuelekezwa upande wa mlango. Vyoo vingi hujengwa hivyo na kuna watu sio wastaarabu akimaliza haja hamwagi maji kuondoa mikojo kwenye floor. Hii kitu inafanya mazingira ya choo kuwa mabaya kwa mtumiaji mwingine kuanza kukanyaga mikojo...
  19. B

    Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

    Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/ decree kuamrisha majeshi ya Russia kuingia nchi Ukraine katika majimbo Luhansk na Donetsk, ambayo...
  20. Kasomi

    Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
Back
Top Bottom