chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Chochote kinaweza Tokea

    Kwenye Safari ya Maisha, Kwenye Kila Jambo au Makubaliano lolote linaweza tokea mda wowote. Usiamini Mtu yeyote katika Haya Maisha Jambo lolote linaweza tokea. Kwenye huu ulimwengu wa Sasa ambao ukweli unazidi kupotea ishi ukiamini chochote kitatokea, andaa akili kupokea Baya na zuri mda wowote.
  2. Antennah

    JamiiForums Tanzania Ma Mc's ( washehereshaji a.k.a wasema chochote) acheni hii tabia ya kitoto

    Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito? Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto zetu na familia zetu. Acheni huu utoto. Acheni huu ujinga mara moja.
  3. The Spartan

    JamiiForums Tanzania Midoli: naomba kujuzwa chochote unacho kijua kuhusu midoli

    Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo. Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siri za Muungano!. Muungano Ulikuwa Siri Kubwa!, Kumbe Uliridhiwa na Pande Zote ZnZ na Tanganyika!. Ile 26/04/64 Hakukufanyika Chochote Hadi 1965!.

    Wanabodi Nafuatilia matangazo mubashara ya TBC kuhusu maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wetu adhimu na adimu. Naibu Kipoa, bu Mkuu wa OMR Muungano na Mazingira, Hassan Mitawi, ametoa baadhi ya siri za Muungano, ambazo wengi wetu hatukuwahi kuzijua ndio nimezijua leo. Mitawi aliyaeleza hayo...
  5. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kwa lugha yeyote utajibiwa!

    Salamu wakuu! Leo nimeona nishee nanyi hii kitu, Fanya hv andika hii namba kwenye simu Yako +1 800-242-8478 Kisha Isave ujuavyo, Kisha nenda whatsup itafute, ukishaipata kwenye sehemu ya kutafuta majina ya namba ulizosevu, Anza kuchat nayo italeta jina chatGPT ukiwa unachat nayo! Hapo...
  6. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Vijora na Vitambaa, karibu uulize chochote kuhusiana na hiyo biashara

    Karibuni sana wakuu! Mimi ni mfanyabiashara wa vijora na vitambaa. Mnaweza kuuliza chochote kuhusu biashara hii niko hapa kwa ajili yenu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kitu Gani ulihisi unakijua lakini badae ukagundua kumbe ulikuwa hujui chochote

    Ni hivii zamani nilikua najua jenereta /Generator ni kifaa kinachofua umeme au tuseme ni kifaa kinachobadili nishati ya mwendo kuwa nishati ya umeme. NIliamini hakuna jenereta inayoweza kufanya kazi ya kuzalisha umeme bila kupewa nishati ya mafuta ( petrol au diseli). Nilikuwa najua...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  9. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwalimu Mbelwa Petro: CHADEMA hawakujiandaa na Uchaguzi zaidi ya kujiotesha ndoto za kuzuia Uchaguzi

    "Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  11. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kailima ni "Jaji" kuweza kuwafungia chama chochote kutoshiriki uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ana Mamlaka ya kukifungia chama chochote kutoshiriki uchaguzi. Pili ni Kwa kutumia kifungu kipi na hicho kifungu hakiendi kinyume cha Katiba.
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: CHADEMA lengo lake ni kushika Dola, kunapokuwa na chochote ambacho kinazuia hilo lazima kisemwe

    "Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA" "Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

    Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali. Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira. Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani. Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wasema hawataki mazungumzo yoyote na Israel. Wakiwa na chochote wapitishie kwa wasuluhishi

    Kupitia msemaji wake kundi la wapiganaji wa Hamas wamesema kwa sasa wamefunga milango yote ya kuzungumza na Israel.Hawatishiki na chochote na hawatekelezi amri yoyote kwa shinikizo. Baada ya mapatano yote kuvunjwa na Israel wameona ni kazi bure kufanya mazungumzo nao au kutii amri zao bila...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

    Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio. Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote...
  17. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

    Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo. Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
  18. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na chama chochote cha upinzani wekeni nguvu kubwa Vijijini kabla na baada ya Uchaguzi, mijini hakuna shida mna karata

    Wasalaam Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  20. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda? Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi? Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!! Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa. Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku...
Back
Top Bottom