and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,386
- 40,027
Akimliza samia si ni sawa na kawaliza watanganyikaKaliza watanganyika gani? mbona huku mtaani sioni vilio? au viunga vya ikulu?🤔
Hapana, nakataa, hayo ni masuala personal hayahusiani na taifa zima kwa ujumlaAkimliza samia si ni sawa na kawaliza watanganyika
Hiyo mifuko siyo yeye, yeye huwa yumo ndani ya RollsRoyceMwamba umeenda na pesa zetu bila kuaga. Why? Peter Msechu upo wapi?
Kaliza watanganyika gani? mbona huku mtaani sioni vilio? au viunga vya ikulu?🤔
Mimi hapa...namdai chips mayai alisema angeninunulia.... Wanaomdai marehemu wanyooshe mikono juuu
Mwamba umeenda na pesa zetu bila kuaga. Why? Peter Msechu upo wapi?