china

  1. L

    JamiiForums Tanzania China iko tayari kubeba jukumu la uongozi katika kuisaidia Afrika kufufuka baada ya janga la Covid-19

    Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake. Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, na kujenga dunia yenye hatma ya pamoja ni msingi wa China katika kushughulikia suala la mazingira

    Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
  4. JamiiForums Tanzania Raia mmoja wa China amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya ndege isiyo ya kawaida

    Raia mmoja wa China mwenye umri wa miaka 41 amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya ndege isio ya kawaida. Maafisa hawakutoa maelezo kuhusu jinsi mtu huyo alivyoambukizwa virusi hivyo vya H10N3 ambavyo vinadaiwa kusambaa kwa urahisi miongoni mwa wanadamu. Mkaazi huyo...
  5. JamiiForums Tanzania Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  6. JamiiForums Tanzania China imepinga juhudi za Marekani kuchunguza zaidi iwapo Covid 19 ilitoka katika maabara moja ya China

    Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatarajia matokeo kuhusu ripoti ya upelelezi wa chanzo cha virusi hivyo. Wizara ya kigeni nchini China iliishutumu Marekani kwa kufanya siasa na kuirushia lawama. Imepinga uhusiano wowote kati ya Covid 19 na maabara moja ya virusi katika mji wa China wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wakati China ikijitahidi kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inadhuru maslahi ya nchi nyingine ili kujiendeleza

    Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limetoa tahariri ikisema, wakati China inapohimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inanyakua nafasi ya maendeleo ya nchi nyingine ili kujiendeleza zaidi. Hivi karibuni, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alihudhuria...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika kupitia filamu yaleta tija ya ajira kwa vijana

    Mwingiliano wa utamaduni kati ya China na Afrika hivi sasa umekuwa mkubwa sana. Ni kutokana na maingiliano haya ndio maana pande hizi mbili zimekuwa zikifahamu baadhi ya tamaduni za pande zote mbili. Sote tunafahamu kwamba utamaduni umejikita na kuonekana kwenye mambo mbalimbali, yakiwemo lugha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mafanikio na changamoto za China katika vita dhidi ya matumizi ya tumbaku

    Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Kamati ya afya ya taifa ya China (NHC) na Ofisi ya mwakilishi wa Shirika la Afya duniani (WHO) wakati wa maadhimisho ya 34 ya siku ya kupambana na matumizi ya tumbaku duniani, inaonyesha kuwa China ina watumiaji tumbaku zaidi ya milioni 300, na watu milioni 1...
  10. JamiiForums Tanzania China yakomesha sera ya watu kuwa na watoto wawili pekee

    China sasa imewaruhusu watu kuwa na hadi watoto watatu baada ya kupungua kwa kiwango cha watoto wanaozaliwa nchini humo.Hatua hiyo ni mabadiliko makubwa ya kisera kwa serikali ya nchi hiyo. Shirika la habari linalomilikiwa na serikali Xinhua, limesema uamuzi huo ulitangazwa siku ya Jumatatu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kutimiza ahadi yake ya kusaidia nchi za Afrika kupata chanjo ya Covid-19 na kuhamisha teknolojia

    Hadi mwishoni mwa mwezi Mei China ilikuwa imetoa msaada wa zaidi ya dozi milioni 20 za chanjo ya Covid-19 kwa karibu nchi 40 za Afrika ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhakikisha dunia inasonga pamoja kwenye utoaji wa chanjo. Kama sehemu ya Ushirikiano wa Kusini na Kusini, China iliahidi...
  12. JamiiForums Tanzania China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

    China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo baada ya Rais Joe Biden kuagiza Ripoti ya jinsi Virusi vilivyoibuka kwa mara ya kwanza ipitiwe Mara...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Biden ataka kuchunguzwa asili ya Covid-19 wakati vyombo vya intelijensia Marekani vikiunga mkono kuwa imetokea China

    Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China. Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Sikukuu ya pamoja kati ya China na Afrika

    Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi amehudhuria sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika hapa Beijing. Kwa niaba ya serikali ya China, Bw. Wang ametoa pongezi kwa mabalozi wa nchi za Afrika nchini China, mataifa ya Afrika na watu wao. Bw. Wang amesema, Siku...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    Daniel Ellsberg Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania China Corona imepungua sana nao wanadai Mungu kawasaidia

    Taifa lenye watu wengi zaidi dunia, watu 1,444,251,755 mpaka kufikia tarehe 21/05/2021 kulikuwa na maambukizi mapya 24 tu, sawa na 0.000001, na vifo tangia ugojwa uanze ni watu 4636 tu ndiyo wamepoteza maisha. Italia imepoteza watu124, 810 Iran imepoteza watu 78194 German imepoteza watu 87,639...
  17. JamiiForums Tanzania China: Hali mbaya ya hewa yaua wakimbiaji 21

    Takriban watu 21 wamefariki dunia kufuatia mvua yenye baridi na upepo mkali wakati wanakimbia (Ultramarathon) katika Jimbo la Gansu Kaskazini Magharibi mwa China. Maafisa katika eneo hilo wanasema mbio hizo zilizojumuisha watu 172 ziliathiriwa ghafla na hali mbaya ya hewa ambapo ndani ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda yatia saini mkataba na China ili kuwezeshwa kuunga kwenye SGR ya Kenya

    Uganda has signed a Ksh5 billion deal with China Roads and Bridge Corporation (CRBC) in order to link Kampala with the Standard Gauge Railway (SGR) in Kenya. This is in a bid to enhance trade with Uganda as well as enable easier transport of goods via SGR from Kampala to Mombasa port...
  20. JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kupeleka kifaa katika sayari ya 'Mars'

    China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars' Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…