china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini China bado inabaki ni kitendawili baada ya miaka 100

    Hivi majuzi tu Chama cha Kikomunisti cha China CPC kimesherehekea kutimiza miaka 100 tangu kiasisiwe mwaka 1949. Ambapo kililazimika kusubiri kwa miaka 28 hadi kuingia madarakani na toka hapo kimeongoza watu bilioni 1.4. Katika miaka 100, chama na nchi imepitia vita vya wenyewe kwa wenyewe...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kutaja China si jibu kwa Marekani inaposhughulikia tatizo lake la miundombinu

    Kwa siku kadhaa, matukio ya kiusalama yaliyosababishwa na miundombinu iliyozeeka yametokea katika sehemu mbalimbali za Marekani, na kubadilisha maoni ya watu juu ya nchi hiyo iliyotajwa kama ni “gwiji wa mwanzo kabisa wa miundombinu”. Ili kushughulikia tatizo hili, rais Joe Biden “alifanya juu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kutoa fursa kwa nchi za Afrika Mashariki kujitangaza kwenye soko lake

    Kenya, Tanzania na Rwanda zimeendelea na juhudi zao katika kutanganza vivutio vyake katika soko la China ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii, sanaa za mikono, na hata bidhaa za kilimo kama kahawa. Kwenye hafla moja iliyofanyika mashariki mwa mji wa Beijing na kutangazwa moja kwa moja kwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China inaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye miradi inayogusa maisha ya watu moja kwa moja

    Hivi karibuni Mkuu wa Chuo Cha Usafirishaji cha Tanzania (NIT) Prof Zacharia Mganilwa, alisema mabadiliko yanayoendelea kutokana na upanuzi wa chuo hicho yatainua hadhi na ubora wa chuo hicho na kuwa chuo kikuu cha kisasa. Mabadiliko yanayoendelea kwenye upanuzi wa chuo hicho, ni sehemu ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kushirikiana na Afrika kupambana na malaria baada ya kuidhinishwa na WHO kuwa nchi isiyo na ugonjwa huo

    Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania China kuanza kutumia Mwezi wake

    Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕 Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka 2022. Ifikapo mwaka 2022 china itaanza kutumia mwezi wake ambao utakuwa na mwanga mara 8 zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Safari toka Tanzania kwenda China kwa mwezi huu Julai zipo?

    Habari wakuu, Nina ndugu anahitaji kwenda china kuangalia mazingira ya biashara,kutokana na hali ya Covid19, je safari zipo toka Tanzania kwenda China? Naamini JF ina member wa kada zote. Shukrani Simu 0713-039 875
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Bila shaka majibu yatapatikana hapa, Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China? Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja...
  10. I

    JamiiForums Tanzania What are the rationale for China to be the second ecomic giant in the world despite the single party?

    In our counties like Tanzania, some people are brainwashed that we need the multyparty system to reach our economic development. Is this true? If yes why is it that China is contrary to our thinking?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa hutuba kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa CPC

    Mkutano mkuu wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) leo umefanyika hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo. Kwenye hotuba yake, rais Xi ametanga kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne, yaani kujenga jamii...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yashuhudiwa kwa wanavijiji wa Xinjiang walioondolewa kwenye umasikini

    Nimeishi nchini China kwa miaka 13 sasa. China ni nyumbani kwetu kwa pili na ni nchi ambayo naipenda sana, nchi ambayo naishi, nafanya kazi na hata kumsomesha mwanangu. Kusema kweli najihisi mwenye bahati kuwepo hapa na kushuhudia mabadiliko ya kiwango kikubwa cha maendeleo ya kasi ya Wachina...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang machoni mwangu: Ubunifu na uvumbuzi unavyopewa kipaumbele katika maendeleo ya China

    Wasanii na wabunifu wa mambo ni watu muhimu katika jamii yoyote ile. Kwani sanaa hutambulisha vitu na mambo mbalimbali ya watu wa kabila au jamii fulani. Katika matembezi yangu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur nimefika hadi kwenye kituo cha ubunifu wa sanaa za mikono cha Qifang mjini...
  14. JamiiForums Tanzania China yaondokana na Malaria baada ya jitihada za miaka 70

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema China imeondokana na Malaria baada ya jitihada za miaka 70. Imeelezwa, katika miaka ya 1940, Taifa hilo lilikuwa linaripoti takriban visa Milioni 30 kwa mwaka WHO imesema Mataifa yapatayo 40 yameshida vita dhidi ya Malaria na China ni Taifa la kwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na China: Kwanini tunajadili mkataba mmoja tu kati ya 17 iliyosainiwa?

    Wana bodi nikiri ni miaka mingi nimepotea humu. Wale mlionimiss mniwie radhi. Mods pia acha kuunganisha uzi wangu na mingine isiyohusiana na maswala haya nayoyaongelea. Turudi kwenye Mada: Siku ya tarehe 24 March 2013 (Jumapili) Rais Xi Jinping aliwasili nchini Tanzania akitokea Urusi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yafungua ukurasa mpya katika shughuli za safari ya anga za juu

    Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema, wanaanga hao waliingia kwenye behewa hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Wachina kuingia kwenye kituo cha...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani CPC inaweza kuiongoza nchi ya China yenye idadi kubwa kabisa ya watu na kuiendeleza kuwa ya pili duniani kiuchumi?

    Wakati Chama cha Kikomunisti cha China CPC kinajiandaa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake 23 Julai 1921, kumekuwa na mambo mengi yanayofuatiliwa. Je ni vipi chama hicho kilichoanzishwa kikiwa na wanachama 50 tu, kimekuwa chama kikubwa cha kisiasa duniani na kufanikiwa kuiongoza nchi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege mkoani Guangzhou hakutaathiri usafirishaji wa bidhaa nje ya China

    Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…