Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza.
Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
Hivi karibuni hili jengo limekuwa gumzo sana hapo Dar
Nini kinaendelea humo nasikia majanja na mawinga wa Kariakoo huwaambii kitu na huo mjengo inapohusu kutoboa kibiashara
Mara kuna habari wafanyabiashara nje ya China Plaza wamepigwa
Huku wengine wanapigwa wengine wanafanikiwa kwa njia...
Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
Tamko la waziri wa China ni la unafki nchi kuingiliwa na mataifa mengine ikiwa na wauwaji sio kosa huo ndio urafiki wa kweli.
Nchi kuingiliwa ikiwa na demokrasia na hakuna utekaji wala mauwaji hapo ndipo sasa tutasema haitakiwi kuingiliwa ni kosa.
Lakini nchi yenye mauwaji na utekaji na hila...
Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025
Wang Yi...
DAR ES SALAAM – Tanzania and China have reaffirmed their long-standing strategic partnership, with a renewed focus on modernizing the historic TAZARA railway and addressing trade imbalances.
The commitment came during high-level talks held today at the State House in Dar es Salaam between...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Wang Yi, amewasili Dar es Salaam, Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Januari 2026.
Katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es...
Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia.
Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi!
Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
Huyu Trump anazidi kuwa pasua kichwa, mwaka jana alipasua Iran nuclear facilities bila hata ya kujali uwepo wa wanasayansi kutoka RUSSIA katika majengo.
Mwaka huu ameenda kumnyakua kama panya road Maduro ambaye ni raisi wa Venezuela, kumbuka Venezuela ni mshirika wa RUSSIA na CHINA.
Kama hiyo...
Bei ya mafuta duniani ilishuka baada ya taarifa kwamba Marekani imefikia makubaliano na Venezuela ili kupokea hadi dola bilioni 2 za mafuta yaliyokuwa yakipelekwa China, hatua iliyosababisha mkanganyiko wa kisiasa na uchumi kwenye soko la nishati.
Rais Donald Trump alitangaza kwamba Marekani...
Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi, sababu kuu ni hizi:
1. Usalama wa Kijeshi (Military & National Security)
Greenland iko katikati ya...
Nahisi idadi ya watu na ukosefu wa maeneo kama mijini kunachangia kujengwa majengo marefu watu waweze kuishi.
Imagine kama ni moto japo gorofa lina uimara.
Mwanzoni wakati China inaanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, serikali ilichagua maeneo ya mashariki kuwa ya mwanzo kujipatia maendeleo. Baada ya maeneo hayo kupiga hatua yakaanza kutumia uwezo wake kiuchumi kuhimiza maendeleo ya maeneo ya magharibi yaliyokuwa nyuma kiuchumi...
Hanan Ahmed, mmoja wa wajasiriamali 66 wa Ethiopia waliohudhuria warsha ya Programu ya Uwezeshaji wa Ujasiriamali wa Wanawake Duniani (GFEEP) inayofadhiliwa na China huko Addis Ababa, nchini Ethiopia, alikamilisha programu hiyo akiwa na moyo wa mafanikio na ujuzi mpya alioupata katika masuala ya...
Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc
China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA.
Moral authority hawana kuisema USA!
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, amesema Beijing haiwezi kukubali nchi yoyote kujitwalia nafasi ya kuwa “hakimu wa dunia” au “polisi wa dunia,” akitoa kauli hiyo kufuatia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na Marekani. Akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan...
People in the Global South are asking why Russia and China are not intervening in Venezuela instead of just issuing condemnations.
The truth is that China’s and Russia’s lack of physical intervention highlights the often unspoken cold realities of geopolitics.
Like everything in geopolitics...
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.