Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari.
Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa...
Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
Kesho Trump anaweza kuwa Shangai Detention Centre ya China😄😄😀😅😆
---
China has called on the United States to immediately release Venezuelan President Nicolas Maduro after Washington carried out massive military strikes on the capital, Caracas, as well as other regions, and abducted the leader...
Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima.
Hakuna...
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa...
Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation...
Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo:
Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
Ilitoa sharti kama lazima msikiti ujengwe kwenye ardhi yake lazima muundo uonekane wenye mandhari ya Kichina, na Mchina yeyote anayejiunga kwenye dini ya muarabu anapaswa atambue yeye ni Mchina kwanza kabla kuwa muislamu.
Uzalendo uanzie China kabla hujaanza kubwatuka kiarabu
Makobaz mnaopenda...
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba.
Desemba 6...
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
Epiphyllum Dream:
hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
Watu wengi mtakuwa mmeiona hii video ya Donald Trump akisema "we want our oil back" Tafsiri ya karibu ni "tunataka turudishiwe mafuta yetu". Trump anaonekana akidai hadharani kuwa mafuta ya Venezuela ni haki halali ya Marekani kiasi kwamba watu wanajiuliza kuwa "Hii video ni AI?" au "Trump...
Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu.
Murigi alikuwa miongoni mwa washiriki mashuhuri katika Mashindano ya nne ya Kitaifa ya Wushu ya Kenya, ambayo...
China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia.
Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020.
========================
Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la Tanzania na China kwa kipindi cha miaka mingi.
Pato la Taifa la China (1960-2025):
1. 1960: $59.72...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.