china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ukanda mmoja, njia moja na maonyesho ya uagizaji ya China ni mtazamo wa pande nyingi

    Na Ronald Mutie Safari ya masaa 14 kutoka mji wa Hamburg nchini Ujerumani hadi mji mkubwa wa kibiashara wa China Shanghai ndio mfano hai wa mafanikio ya miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja. Tangu mwaka 2013 Rais Xi Jinping alipopendekeza wazo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, miradi ya uunganishaji...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kujiunga kwenye maonyesho ya biashara nchini china

    hello members, kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoendelea zinafurahi kuona China na Marekani zinaimarisha ushirikiano wao

    Na Fadhili Mpunji Katika muda mrefu miaka karibu mitano sasa, mawasiliano kati ya China na Marekani yamekuwa katika hali ambayo wachambuzi wengi wameiita si ya kawaida. Tangu Rais Donald Trump alipozusha mvutano usio na maana na China, mawasiliano ya kidiplomasia na hata uhusiano wa kiuchumi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Soko la China ni kigezo cha kupima ubora wa maua ya Kenya

    Na Tom Wanjala China imetajwa kuwa mwamuzi mkubwa katika soko la kimataifa la maua yanayotoka Kenya. Meneja mauzo wa kampuni ya maua ya Redlands Roses, Bi. Dorcas Gathura anasema kuwa China imesaidia kampuni hii kupanua mauzo yake katika mataifa mbalimbali. Anasema kuwa kinyume na mataifa...
  5. JamiiForums Tanzania Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

    Kweli maisha yanaenda kasi mazee, yule manzi alikuwa ndiyo mkali kuliko manzi wote macelebrity wa bongo Jackie Cliff ambaye alikuwa ni mpenzi wa msanii Juma Jux ambaye alikutwa na kesi ya madawa ya kulevya na kutumikia kifungo cha miaka jela yuko uraiani sasa hivi bongo. Katika pitapita...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Utoaji bora wa huduma za kifedha utahimiza ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Na Kelly Ogome China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha. Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya CIIE ya China yatoa jukwaa la mtandaoni kwa Afrika kutangaza bidhaa zake na kujikuza kibiashara

    NA PILI MWINYI Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China CIIE, yanayofanyika mjini Shanghai yamepata mafanikio makubwa na kutoa jukwaa muhimu sio tu kwa China kuendelea kufungua milango yake na kukuza ushirikiano wake wa kimataifa na biashara huria, bali pia kwa wafanyabiashara...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yafuata ahadi ya kuongeza uagizaji wa bidhaa kutoka Afrika

    China na nchi za Afrika zimekubaliana kuitisha mkutano wa ngazi ya mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC tarehe 29 hadi 30 mwezi huu mjini Dakar, Senegal. Pande hizo zinafikiria kufikia makubaliano ya kuhimiza zaidi maendeleo ya biashara yaliyo na uwiano na uendelevu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Dunia yashuhudia China ambayo mlango wake umezidi kufunguliwa kwa nje tangu ijiunge na WTO miaka 20 iliyopita

    Na Fadhili Mpunji Mwaka huu China inaadhimisha miaka 20 tangu ijiunge na Shirika la Biashara Duniani WTO. Tangu mwaka Novemba 2001 China ilipojiunga na Shirika hilo mjini Doha, uchumi wa China umekuwa kwa kasi na kutoka GDP ya Dola za Kimarekani Trilioni 1.3 ikiwa katika nafasi ya 6 duniani...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni barani Afrika yatumie CIIE kufungua soko la China kwa ajili ya bidhaa zao

    Na Caroline Nassoro Maonyesho ya 4 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi Novemba 5, 2021. Ikiwa ni awamu ya nne, Maonyesho haya yameendelea kuandaliwa kwa ufanisi zaidi, kitaalamu zaidi, na pia kwa njia ya kidijitali zaidi. Maonyesho haya yamevutia washiriki...
  13. L

    JamiiForums Tanzania CIIE: Fursa nyingine kwa nchi za Afrika kutangaza na kuuza bidhaa zao katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yameanza mjini Shanghai, China, na nchi kadhaa zinashiriki maonyesho hayo na kutangaza bidhaa maalum za kipekee zinazopatikana katika nchi hizo ili kuweza kuvutia wateja nchini China. Nchi za Afrika ni miongoni mwa nchi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mambo manne muhimu ya ufunguaji mlango aliyotaja Rais wa China kwenye CIIE yatanufaisha dunia

    Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

    Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana. Kama mwaka uliopita...
  16. JamiiForums Tanzania Agiza Mashine za kutengenezea mkaa wa taka kutoka China to Tanzania.Na uanze kuatengeneza pesa

    Mashine za kutengeneza mkaa wa taka zinarahisisha sana Maisha ya wajasiriamali mbali mbali. Piga 0756 591 943. Tukuletee mashine hadi nyumbani. Tukianza na taka zinazotumika kutengenezea mkaa kwenye izi mashine. Ni taka kama: Biomass shells: Coffee husk, olive shells, palm shells, bamboo...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Xi Jinping wa China kwenye Mkutano wa Kilele wa COP26 yatoa mwanga wa matumaini

    Mkutano wa mabadiliko ya tabianchi (COP26) umeanza huko Glasgow, Scotland, ukikaribisha viongozi, wataalamu na wanaharakati mbalimbali duniani ambao watajadili na kutafuta njia za kupunguza mabadiliko ya tabianchi. Katika kipindi hiki cha wiki mbili za majadiliano na mazungumzo, nchi shiriki...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China ni manufaa kwa dunia nzima

    Na Fadhili Mpunji Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa na kazi za ubunifu za Afrika zakaribishwa nchini China

    Na Kelvin Ogome Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…