China yawakejeli G7, yasema G7 ni muungano wa watu wachache ukilinganisha na BRICS

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo.

China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!

1656463756165.png
 
Mnaweza kuwa wengi lakini hamna faida wala ushawashi kama walio wachache.
International community haiji kwa sababu mpo wengi tu.
G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!

View attachment 2275992
 
G7 GDP ni estimated 30T USD na BRICS ni 27 T USD.
Hakuna tofauti. Wanawezana wakishindana. Chumi nyingi za G7 zipo kwenye constant or declining stage wakati chumi za BRICS nyingi zipo kwenye exponential stage.
 
GDP ya BRICS ni China (15T) + India(2.6)+ Brazili(1.4T)+ Russia(1.4T) + South Africa(301B)= 20.7 T USD
Wewe umezipataje hizo 27T za BRICS?

GDP ya G7 ni US (20T)+ Japan(5T)+Canada(1.6T)+UK(2.7T)+France (2.6)+ Ujerumani (3.8T)+ Italy(1.8T)= 37.5T USD

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
GDP ya China ni 18T, GDP ya India ni 3T, GDP ya Brazil ni 1.5 T, GDP ya Russia ni 1.8T na GDP ya SA ni 0.32T.
Jumla: 25T
 
G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!

View attachment 2275992
Wote hao ni wale wale tuu wanaopinga kwa nguvu zote muungano wa Afrika.. Na wote hao wanaitamani Africa kwa ulafi wao wote
 
Back
Top Bottom