china

  1. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni ajira China na nchi nyingine. Ni aibu kwa Lissu kama kiongozi kupotosha Umma

    Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo. Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika inafuatilia Mikutano Miwili ya China?

    “Serikali mpya ya China itaongeza msukumo mpya katika uhusiano kati ya China na Afrika.” Makala iliyochapishwa kwenye tovuti ya Shirika la Utangazaji la Kenya KBC iliripoti kwamba mabalozi na wageni kutoka nchi za Afrika hapa Beijing walishuhudia kuanza rasmi kwa Mikutano Miwili ya China, yaani...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

    Hii sasa ni too much Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma? Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6? Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania China yaonywa katu isithubutu kuipa Urusi msaada wa silaha, itakiona

    Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali limetolewa...thubutuu!!!.... muacheni Mrusi ajifie maana kalianzisha mwenyewe... Kubwa la magaidi Iran lilishapigwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutafuta uungwaji mkono ili kuiwekea vikwazo China

    Kwa mujibu wa Reuters, mashauriano hayo yapo hatua ya awali yakilenga kupata Washirika kutoka mataifa mbalimbali, hasa Kundi la Nchi 7 Tajiri Duniani (G7) ili kuratibu vikwazo vyovyote vinavyowezekana. Uamuzi huo unafuatia #Washington na washirika wake kuituhumu #China kuwa inataka kuisaidia...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Yuan ya China yaanza kuipiku dola ya Marekani sokoni

    Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wakati China inapanga kutoa mpango wa amani kuhusu mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani na wenzake wanapanga kuchochea

    Kwenye mkutano wa usalama ulipofanyika hivi karibuni mjini Munich, Ujerumani, suala la mgogoro kati ya Russia na Ukraine limeonekana kugubika mkutano huo, na kuufanya uonekane kuwa ni mkutano wenye ajenda ndogo tu inayohusu mgogoro huo, na sio kuangalia suala la usalama kwa ujumla wake kwa...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Fursa soko la pilipili nchini China

    Kampuni ya Greenchain ya Shanghai, nchini China itatembelea Tanzania mwezi Machi 2023 kwa ajili ya kukutana na wazalishaji wa Pilipili aina ya Tajin (Sweet And chili pepper au kitaalamu Capsicum annuum.) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za SADC tusipochukua hatua kuokoa Zambia, tunaipa China rasmi

    Zambia mpaka sasa ukifika kuna mabango ya kichina na taratibu za China. ======= Zambian President Hakainde Hichilema. His government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed to China. External debt The Zambian government owes $17 billion in external debt, with about $6...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kunufaisha dunia nzima

    Hivi karibuni China ilitoa Waraka Namba 1 kuhusu suala la kilimo, ikiagiza kwa mara ya kwanza kuharakisha ujenzi wa nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo. Hatua hii ina umuhimu mkubwa wa kimataifa na itanufaisha dunia nzima. China kuharakisha kujenga nchi yenye nguvu zaidi ya kilimo kutatoa mchango...
  13. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

    Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine. Taarifa: - China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said. Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already...
  14. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Namna China ilivyoweza kujiendeleza, Tanzania tuna yapi ya kujifunza?

    Habari za saa wanachama wote. Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi. Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa China katika sekta ya afya ya umma barani Afrika unaendelea kutukuzwa na wenyeji

    Afya ni muhimu na ina thamani kubwa sana kwa binadamu. Bila ya mtu kuwa na afya njema hataweza kufanya chochote kile. Ndio maana nchi mbalimbali duniani zinaipa kipaumbele sekta ya afya ili kuhakikisha afya za watu zinakuwa imara, na endapo unatokea ugonjwa ziweze kukabiliana nao kwa haraka na...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa waraka wa kwanza unaolenga kuchochea ufufukaji wa kina katika maeneo ya vijijini

    China imetoa waraka muhimu wa kisiasa unaojulikana kama “Waraka Na. 1 wa serikali kuu” wa mwaka 2023, ambapo nchi hii imesisitiza lengo lake la kusukuma kwa pande zote ufufukaji wa vijijini kwa kuunganisha juhudi za Chama cha Kikomunisti cha China na jamii nzima, na pia kuongeza kasi ya kutimiza...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

    Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka mtoto Bali walikuwa wanamtafuta mkurugenzi wa hospital hiyo Kwa kumfukuza mwenzako. mkurugenzi wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya kichina “The Knockout” yajizolea umaarufu mkubwa wakati China ikiendelea na vita dhidi ya ufisadi bila kusita

    Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320. Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
Back
Top Bottom