china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kijana wa China atengeneza kazi za sanaa ya kukata karatasi kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina wa Sungura

    Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China yasema Watu 60,000 wamefariki kwa UVIKO-19 ndani ya mwezi mmoja

    China imetoa ripoti ikieleza vifo vilivyorekodiwa kuwa ni 59,938 kati ya Desemba 8, 2022 hadi Januari 12, 2023 ambapo wengi waliofariki ni wenye umri wa miaka 80 waliokuwa na matatizo ya upumuaji. Inadaiwa takwimu kamili ya vifo inaweza kuwa kubwa kwa kuwa zilizotolewa ni zile ambazo...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zaongoza orodha ya wanaositisha mikataba na kampuni za China

    Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Dola Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 5.1) wa Kampuni ya CHEC ya China kujenga reli ya Standard Gauge Railway (SGR) ya Kilometa 273 kutoka Malaba hadi Kampala kutokana na mvutano wa kimaslahi. Hivyo, Uganda imeingia makubaliano ya awali na Kampuni ya Uturuki...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yavunja mkataba wa ujenzi wa SGR wa Tsh. Trilioni 5.1 na kampuni ya China, yasaini na Yapi Merkez

    Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala. Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania China haina uwezo wa kustahimili vikwazo vya kiuchumi kama Urusi ilivyoweza kustahimili, ndio maana haina ubavu wa kuivamia Taiwan.

    Nchi za magharibi hazijaamini hadi sasa kuwa Urusi imeweza kuhimili vikwazo lukuki vya kiuchumi, kinyume chake nchi za magharibi hususan ulaya magharibi ndizo zilizoumia zaidi. Ilitegemewa kuwa urusi itashindwa kuhimili na hivyo kushindwa kuendesha vita vyake dhidi ya ukraine. Kwa upande...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yarekebisha hatua zake za kukabiliana na COVID-19

    Kuanzia tarehe 8 mwezi Januari, China imerekebisha hatua zake za kukabiliana na janga la COVID-19 kutoka ngazi A hadi B. Kwa mujibu wa hatua mpya, watu walioambukizwa na virusi vya Corona hawatawekwa karantini tena, na watu wanaoingia nchini China kutoka nchi za nje pia hawatalazimishwa tena...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China yazuia visa za wasafiri kutoka Korea Kusini, Japan sababu ya UVIKO-19

    Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 37% ya Nchi duniani hazina Uhuru Mtandaoni. Hali mbaya zaidi yaripotiwa China

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28. Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru. Kwa Mwaka wa Nane...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China aanza ziara ya kwanza ya mwaka mpya barani Afrika, desturi ikidumu miaka 33 mfululizo

    Kuanzia tarehe 9 hadi 16 mwezi huu, waziri mpya wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang atafanya ziara nchini Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, Misri, na pia kutembelea makao makuu ya Umoja wa Afrika na ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu. Hii sio tu ni ziara ya kwanza ya mambo ya nje ya Qin Gang akiwa...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa vita wanatabiri China kupigwa na Taiwan ikiwa Japan na Marekani wataisaidia Taiwan. Nini maoni yako?

    Think Tank: Simulation Predicts Taiwan Could Defeat China With US-Japan Aid in Invasion Scenario A simulation run by the Center for Strategic and International Studies (CSIS) think tank has determined that Taiwan would come out as a victor if faced with a Chinese invasion in 2026, assuming it...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China kuboresha hatua za kuingia na kutoka kutaleta msukumo mpya kwa biashara kati yake na Afrika

    Hivi karibuni, serikali ya China imeboresha na kurekebisha hatua za kukabiliana na virusi vya COVID-19 kulingana na wakati na hali. Kuanzia Januari 8, watu wanaokuja China watapimwa virusi saa 48 kabla ya kuondoka, na wale wasioambukizwa wanaweza kuja China. Hatua hii itaandaa mazingira bora...
  12. Gama

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uviko-19 nchini China inatisha

    Nimekuwa nikifuatilia mitandaoni ambako taarifa za hali ya UVIKO huko china imekuwa ya kutisha. Yaonekana kuwa kuna vifo vingi, wagonjwa wengi to the tune of having no space in hospitals, having no support facilities na taabu nyingine nyingi. Najaribu kujiuliza, sisi tumejiandaa namna gani na...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China yafungia akaunti za mitandao ya kijamii zinazokosoa sera ya UVIKO-19

    Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo. Hivi karibuni China ililegeza masharti ya wasafiri kuhusu tahadhari za ugonjwa huo na inadaiwa imechangia kuongezeka...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Vifo vya watu maarufu vyaongeza taharuki kuhusu UVIKO-19

    Wakati China ikiendelea na msimamo wake wa kulegeza masharti ya tahadhari ya UVIKO-19 kwa wasafiri, upande wa pili vifo hivyo vimeendeleza maswali kuhusu uhalisia wa maambukizi ya virusi ilivyo Nchini humo. Baada ya kifo cha mwanamuziki Chu Lanlan (40), hivi karibuni, familia ya msanii huyo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa maisha waanza kurejea kama kawaida baada ya China kulegeza sera za maambukizi sifuri ya COVID-19

    Tangu mapema mwaka 2020 wakati ugonjwa wa COVID-19 ulipolipuka na kushuhudia watu wengi wakiathirika duniani, juhudi mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kuhakikisha ugonjwa huu unadhibitiwa ama kutokomezwa kabisa. Juhudi hizo ni pamoja na kila nchi kuweka kanuni na zuio la aina mbalimbali, na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuwa mchocheaji mkubwa wa TEHAMA barani Afrika

    Sekta ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano ya habari (TEHAMA) inatajwa kuwa ni mapinduzi ya tano ya viwanda duniani. Wadau wa maendeleo wamekuwa wakitaja sekta hii kuwa ndio msingi na mwelekeo wa siku zijazo duniani, lakini pia kama nchi yoyote itabaki nyuma kwenye sekta hii, uwezekano wa...
  19. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kwamba CCM imekita mizizi, kama vyama vya kikomunist vya China na Korea Kaskazini

    Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na dola iliyopo. Ukitembea kwa walala hoi mikoa mbali mbali, huwaambii kitu kuhusu CCM. Ukija kwenye...
  20. mcshonde

    JamiiForums Tanzania China na Marekani wagombania kuutawala au kumiliki Mwezi

    Seneta na bosi mstaafu wa Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga (NASA), Bill Nelson, ametoa tahadhari kuwa muda wowote China wanaweza kuumiliki mwezi mzima ukawa mali yao. "tuko katika mashindano ya kianga, na China watajimilikisha mwezi endapo wakafanikiwa kufika huko kwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom