china

  1. L

    Msimamo wa China wafanya Bw. Blinken afanye ziara nchini China

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Antony Blinken anafanya ziara nchini China, ikiwa ni ziara ya kwanza ya ofisa mwandamizi wa serikali ya Marekani nchini China tangu Rais Joe Biden aingie madarakani. Ziara hii inatajwa kuwa ni ziara muhimu, lakini inayofanyika katika kipindi ambacho...
  2. L

    Ni pale tu Marekani inapotekeleza ahadi zake kwa vitendo ndipo uhusiano kati ya China na Marekani unaweza kuboreka

    Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
  3. China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  4. L

    “Kuondoa hatari” ni hila ya Marekani ya kutenganisha China katika mambo ya uchumi na biashara

    Hivi karibuni, “kuondoa hatari” kumechukua nafasi ya “kutenganisha” kama neno jipya linalotumiwa zaidi na wanasiasa wa Marekani kuhusu China. Mkutano wa kilele wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika mwezi uliopita ulitoa taarifa ikisema kuwa, nchi hizo 7 zinazoongozwa na Marekani zitajitahidi...
  5. Janet Yellen: Washington yatatokea madhara makubwa Marekani ikijitoa China

    Treasury Secretary Janet L. Yellen said on Tuesday that it would be a mistake for the United States to try to “decouple” from China and called for deepening economic ties between the world’s two largest economies. The comments came as the Biden administration has been seeking to improve...
  6. M

    China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

    Shanghai, China 06/06/2023 Kampuni kubwa ya utengenezaji meli inayoitwa China State Shipbuilding Corporation (CSSC) yenye makao yake Shanghai walizindua meli ya kwanza ya kitalii (Cruise ship) kutengenezwa China, iliyopewa jina la Adora Magic City. Itakuwa cruise ship ya kwanza duniani kuwa...
  7. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
  8. Marekani, Uingereza na China zaitaka SGR

    Serikali imesema nchi tano zikiwamo China, Marekani na Uingereza zimeonyesha nia ya kuwekeza kwenye ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) ushoroba wa Mtwara kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP). Nipashe
  9. L

    Maendeleo ya teknolojia ya China yamekuwa na manufaa makubwa kwa nchi za dunia ya tatu

    Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea kujienga China kuwa nchi yenye nguvu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia, huku ikifanya juhudi...
  10. L

    Ndege kubwa ya abiria ya C919 yaanza rasmi kutumika nchini China

    Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga. Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda...
  11. Mhandisi Ezra Chiwelesa Amesema Bunge Tanzania Kuiuzia China Gesi Asilia Kupitia Mradi wa LNG

    ENG. EZRA CHIWELESA - TANZANIA ITAIUZIA CHINA GESI ASILIA KUPITIA MRADI WA LNG Mgodi wa Biharamulo StamiGold tumepokea Umeme na hasara ya Mafuta zaidi ya billion 1.2 yaliyokuwa yanatumika mgodini tuna umeme tayari, ni hatua kubwa na Mapinduzi katika Wilaya ya Biharamulo. Nina hakika Mgodi ule...
  12. L

    Fasihi ya Mtandaoni ya China yaleta mageuzi makubwa na kupanua soko lake la wasomaji hadi nje ya nchi

    Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
  13. Je, China ni Mongol Empire ya Sasa?

    Ndugu wanaJF siku chache nimekuwa nikiwaza na kuchambua mambo kadha wa kadha kuhusu nguvu ya kiuchumi ya nchi ya china na watu wake kusambaa karibia kona zote za dunia. Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu Mongol Empire na kuenea kwake huku nikioanisha na namna China inavyosabaa kwa namna yake. Leo...
  14. Ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China?

    Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT? Makampuni mengi ya kichina makubwa...
  15. Tanzania Launches Honorary Consulate in Macau to Boost Ties with China

    The former has launched a consulate in Macau to strengthen Tanzania and China's bilateral relations. This comes in a period of less than six months after the State visit to China by President Samia Suluhu Hassan. At the event held in Macao on Thursday and attended by various dignitaries...
  16. L

    Uwekezaji zaidi kutoka China kuleta kuwanufaisha watanzania na uchumi wa Tanzania

    Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
  17. Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

    The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology. Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the...
  18. L

    Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  19. Kusafirisha mzigo toka China

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM. Ahsante
  20. China: Mchekeshaji apigwa faini ya shilingi bilioni 4 kwa kutaja msemo wa kishujaa wa jeshi la China PLA jukwaani

    Mchekeshaji Li Haoshi wa China amejikuta kwenye sintofahamu baada ya kupigwa faini ya $ 2 milion ambazo ni sawa na bilioni 4 baada ya kutaja maudhui na msemo wa kishujaa ambao hutumiwa na jeshi. Mchekeshaji huyo alikuwa akielezea jinsi mbwa wake walipokuwa wakifukuza "squirrel" ndipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…