Decryption Tools

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Feb 10, 2019
2,040
3,286
Habari za weekend wakuu...
Juzi kati nilikumbwa na tatizo la virus kweny home desktop, ni malware ambao wanaencrypt files na hizo files to be inaccessible mpaka pale utakapo lipa kiasi fulan cha pesa (ransom) ili wakupe decryption tool na unique ID. Na files zote ambazo zimekuwa enrcypted zinakuwa na extension ".irjg",mfano "picture.jpg.irjg". There's a lot about this shit kutokan na kile nilichokisoma through websites,etc. Then kuna njia mbili za encryption kufanyika, either online or offline., Files zangu zimekuwa encrypted online hali ambayo imesababisha kuongeza ugumu wa kufanya decryption kwa kutumia some free software like emsisoft. So, lengo la huu uzi ni kuomba msaada wa mawazo au njia za kusolve tatizo hili. But, some sites wanasema kwamba, uwezekano wa kudecrypt files ambazo zimekuwa encrypted online ni mdogo sana, maybe kwa siku au miaka ijayo💔 surely nimekata tamaa kutokan na hii statement😄...Mtaniwia radhi kwa uandishi wangu...ni hayo tuu
Naomba kuwasilisha kwenu wandugu...🙏
 
Back
Top Bottom