Tujuzane kuhusu VPN za namna hii

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Habari za siku wanajamii
Kama ilivyo kawaida ya jukwaa pendwa la teknolojia ambapo huwa tunaelekezana mambo mbalimbali yanayoendelea katika ulimwengu huu wa sayansi.

Katika pitapita zangu kwenye kakimeo kangu ka tecno hatimae kuna sehemu nimekuta kuna setting yenye kusomeka VPN
Na ukifungua hapo unakuta application zote za vpn ulizoinstall kwenye simu

Pia kuna alama ya +
Ukiifungua kuna nafasi za kujaza yaani custom setting za vpn mbali na zile za kudownload mtandaoni

Sasa wakuu wenye ujuzi juu ya hili hebu wachukue muda kiasi kutufafanulia nini cha kufanya ili kuweza kutumia VPN za namna hii

Naomba kuwasilisha
 
Kila simu huwa inakuwa na VPN mbali na zile za kudownload. Unaweza kutumia VPN ya simu bila kutumia nyingine Kwa kubonyeza hiyo alama ya +.

Ukibonyeza itakuja page ya kujaza setting, ambazo ni jina la VPN, server, Aina ya VPN , password nk
 
Wadau waje na majibu apa me natumia iphone x na mtandao wa airtel, kuna jamaa nimeona wanaserereka tu free vpn sema walikua na android so sijui kwa sisi wa ios ni vipi
 
Back
Top Bottom