The disk is write protected

ingekua Linux kuna Command za kuifanya iweze ku write, lakini windows Inakua User katumia third party application kuzuia ku write data. Kwahiyo the same user ndo kuwepa permission ya ku write using the same app.

Sent from my TA-1020 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii ya kwangu wala sikutumia third party application yoyote kuzuia ku write data,imejiweka yenyewe tu siku hiyo nilikuwa na burn Windows iwe bootable Flash.
 
Kwa kweli write protected nimejaribu kwa kutumia cmd nikafail kabisa 🤔🤔🤔
 
kuna App inaitwa Disk Genius, format kwa hyoo app. Ikigoma apo jaribu kwenye linux.

Sent from my TA-1020 using JamiiForums mobile app
Jibu litabaki lile lile.
Hizi Flash za kibongo bongo nyingi ni fekeĺo boss.
Zikishaingia hatua hiyo hakuna solution zaidi ya kutupa tu.
Kuna post tele za nyuma watu wameomba msaada na zikatolewa solution kama zote but ziligoņga mwamba.
 
Njia hiyo hata ile ya CMD zinafanya poa kwa Usb/SD original tu but hizi zetu fekelo zikisha jiingiza kwenye write protected no way out

Unachokisema itakuwa kweli..hii yangu ni zile SUNDAR,nimajaribu hadi CMD imegoma nimeamua tu ninunue nyingine mpya.
 
Unachokisema itakuwa kweli..hii yangu ni zile SUNDAR,nimajaribu hadi CMD imegoma nimeamua tu ninunue nyingine mpya.
Ndo hivyo........!!!!
pia kuna SD card fulani zinaķuwa na content, ukitaka kuformat hazikubali hata ukiforce mwisho wa siku zile content haziondoki ng'o na wala huwezi kucopy au kupaste chochote humo.
 
Back
Top Bottom