Japo ninaamini walinzi walikuwepo tena ulinzi mkubwa.
Lakini hoja yangu ni hii :
Jana kule Marekani mara baada ya fainali ya kombe la Dunia kwa vilabu wakati Chelsea wanakabidhiwa kombe , Rais wa Marekani Mhe Donald Trump alijumuika nao pamoja na Rais wa Fifa pale uwanjani ...
Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey.
Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
Wakuu,
Wekeni utabiri wenu kuelekea mechi hii PSG wanasema hakuna mtu kulibeba inawezeka kirahisi hivyo?
Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa Vilabu kati ya Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa inatarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili, Julai 13, 2025, kwenye Uwanja wa...
Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani.
Chelsea walionyesha ubora...
Ramirez amezua balaa huko Stanford bridge
Nusura walinzi wamzuie uwanja wa mazoezi wakidai soo yeye
Kumbuka chelses na liverpool zimewakusanya malegend wao kukipiga mechi ya kirafiki
Chelsea mlikuwa mnamlisha mihogo
Niko Morogoro
Nilichokiona Leo n BALAA tupu
Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea
Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL
Nahisi tueleke kwenye maombii ya Mchungaji wa Dube tukaponye timu zetu
COLE PALMER does not yet have the silverware to match modern-day Chelsea legends - but he has become Stamford Bridge royalty in record speed.
The 22-year-old capped his 60th Blues appearance with a goal, an assist and a man of the match performance in the 3-0 win over Aston Villa yesterday.
It...
Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao.
Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
FT
Chelsea 1 - 1 Crystal palace
Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu! Kuondoka kwa tajiri Abramovich litaendelea kuwa pigo!
Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya kuibua vipaji visiwani hapo . Hayo yamebainishwa katika kikao kati ya rais wa Zanzibar Hussein...
Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus.
Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili litakalomeleka Sancho Chelsea, hiyo ni kwa kuwa hayumo katika mipango ya Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca
Klabu...
Kocha Mauricio Pochettino (52) aliyesaini kandarasi ya kuinoa Chelsea kwa miaka miwili, anaondoka Klabuni hapo kwa makubaliano ya pande zote ikiwa ni mwaka mmoja tangu aanze kuinoa Klabu hiyo ya Magharibi mwa London
Klabu hiyo yenye Makazi yake katika Dimba la Stamford Bridge inatarajiwa...
Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London.
Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30.
Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi, Liverpool imeshinda mara moja na sare zilikuwa nane.
Ushindani ni mkali, timu zote zinashambuliana kwa...
Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara.
Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
Wana sports leo ilikuwa mfululizo wa kipigo kwetu wana blues, kiukweli huwa naumia sana sasa kwa kuwa sisi huu msimu hatuna timu kabisa
Yaani usajili wote ni majeruhi na flop nimeamua kujiweka pembeni kwanza maana nitakua sina amani kabisa
Mpaka siku nikijaliwa kuingia kabsa Stamford Bridge...
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya na wengine wanapewa vitisho.
Anasema "Hatuzungumzi sana kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.