chelsea

  1. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Chelsea 2-3 Kanu: Siku ambayo Kanu alianza rasmi kudeka klabuni Arsenal

    ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge lililopo magharibi mwa London hatimae anaibuka shujaa asiefikiriwa wala kuimbwa, kisha anawarudisha...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Chelsea yakubali kumuachia Lukaku kwenda Roma kwa mkopo

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita. Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
  3. starlightz

    JamiiForums Tanzania Lavia anatarajiwa kumfuata Caicedo kwenda Chelsea

    Lavia anatarajiwa kumfuata Caicedo kwenda Chelsea, #LFC watageukia wapi kutoka hapa? Siyo nafasi nzuri ya kubargaini wakati wapinzani wanajua una hamu ya kununua namba 6 na umeonyesha tu uko tayari kutumia paundi Milioni 111 kwa moja.!!! Ila wasema Hilo haliwezi kuwa kabisa kwa LFC; waliweka...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Chelsea yaanza mazungumzo ya kumsajili Neymar

    Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake. Neymar alijiunga PSG kwa rekodi ya Dunia Pauni Milioni 198 (Tsh. Bilioni 624) akitokea Barcelona Mwaka 2017. Uamuzi unaendelea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imekuwa "punching bag"!: Kila timu inajipigia tu!

    Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imefulia kama TP Mazembe ilivyofulia: Hata vilaza wanajipigia tu timu hizo mbili!!

    Wolverhampton Wanderers 1 - 0 Chelsea HT 1-0
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Chelsea mbioni kumrejesha Lampard hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo inaendelea na mazungmzo na Julian Nagelsmann pamoja na Luis Enrique ili kupata mwalimu wa kudumu wa klabu...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Graham Potter afukuzwa kazi na klabu ya Chelsea

    Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Chelsea na Manunuzi ya Ki-Kamari (Betting)

    Sina Mengi ya Kusema hii Article ya Gab Marcoti paints a Better Picture:- Trying to make sense of Chelsea's transfer spree: big gambles, but big rewards too? The dust has settled, and the numbers are in. Since June 10, when the summer transfer window opened, Chelsea has spent more than €600...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Chelsea ipo tayari kumuuza Raheem Sterling

    Licha ya kuwa alijiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Manchester City kwa Paundi Milioni 50, Sterling (28) na kusaini mkataba wa miaka mitano, ameshindwa kuwa na uhakika katika kikosi cha kwanza. Amefunga magoli manne katika mechi 15, hali inayoonesha Chelsea inahitaji...
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Chelsea leo wanaanza ligi baada ya Kombe la Dunia, Fulham atakufa nyingi

    Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia. Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea. Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3. Wale mashabiki wa timu nyingine...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chelsea kanimaliza

    Wakuu chelsea ni chama langu ila kwa mwenenendo huu sijui kama nitafika, jana kanikata kila kitu kuanzia vibe hadi mtonyo nilimuamini sana nikamuwekea laki mbili duuh lakini kanibwaga. Uchungu zaidi nilikoweka hata bonus hakuna , sijui ni wapi angalau ningepata kabonus kutuliza moyo...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gianluca Vialli afariki, alikuwa straika wa Chelsea, Juventus na Italia

    Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia. Alikuwa akisumbuliwa na saratani ya kongosho kwa muda. Alikuwa straika aliyecheza Timu ya Taifa ya Italia, Sampdoria, Chelsea...
  14. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Huko Chelsea kinanuka Muda huu

    Yaani ni Moto. Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa. Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango.. Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na wamiliki
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Chelsea yamfukuza kazi Mkurugenzi wa Biashara kwa unyanyasaji wa kingono alioufanya kabla hajaajiriwa

    Aliyefukuzwa ni Damian Willoughby ambaye alikuwa ameajiriwa na Chelsea ndani ya mwezi mmoja uliopita. Imebainika Willoughby alikuwa akimpigia na kumtumia ujumbe wa simu (SMS) kumdhalilisha na kumnyanyasa kingono Wakala la Fedha za Soka, Catalina Kim. Catalina alienda kulalamika kwa uongozi juu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Chelsea kumfukuza Tuchel ni sawa?

    Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Chelsea yamfungashia virago kocha Thomas Tuchel

    Klabu ya Chelsea imemfuta kazi kocha wake Mkuu Thomas Tuchel kutokana na uwepo wa mwendelezo mbaya wa matokeo unaoikabili timu hiyo. Kufurushwa huku kumetokea masaa machache baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwenye michuano ya UEFA kutoka kwa Dinamo Zagreb. Tuchel alijiunga na timu hii...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Chelsea yakubaliwa dili la kumsajili Wesley Fofana

    Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Leeds United waichapa Chelsea 3-0 kama wamesimama

    Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022. Wafungaji wa #LeedsUnited katika mchezo huo ni Brenden Aaronson, Rodrigo Moreno na Jack Harrison, pia haikuwa siku nzuri kwa...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Leeds United 3- 0 Chelsea, EPL

Back
Top Bottom