FT: Chelsea 0-1 Liverpool, Carabao Cup Final 23/24, February 25, 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
GHMEeHLWsAAeV17.jpg

GHMEeHLXsAAMJm9.jpg

GHMn2DvXcAErQhA.jpg
Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London.

Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30.

Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi, Liverpool imeshinda mara moja na sare zilikuwa nane.

Ushindani ni mkali, timu zote zinashambuliana kwa zamu.

Dakika 15 za kwanza zimekamilika, kipute kumalizia dakika 15 za mwisho kimeanza

Bado matokeo ni 0-0

Kipa wa Liverpool amefanya saves kadhaa za hatari

Mambo mazuri yameanza ndani ya kikosi cha Liverpool hiyo ni baada ya kubeba Carabao Cup 2023 kwa kuifunga Chelsea kwa goli 1-0 likifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 118 baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 90 za kawaida, mtanange ukipigwa kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London
 
Back
Top Bottom