chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. OleWako

    JamiiForums Tanzania Maparasaiti

    Katika vilindi vya ngozi, chini ya vazi la nyama na damu, mwili wa binadamu unakuwa uwanja wa mashindano yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Uwanja huu wa ajabu huvutia wavamizi wa aina moja - maparasaiti -ambao wote wana lengo moja kuu: damu, chanzo kikuu cha uhai kinachozunguka kupitia mishipa...
  2. Merchante

    JamiiForums Tanzania JF imeingiliwa na Chawa

    Mimi si mgeni humu JF,japo si mkongwe sana. Kwa mara ya kwanza nilijiunga rasmi JF 2013,na nilibadili ID 2015 na hii mpya niliibadili mnamo mwaka 2017. Nakumbuka JF ilikua "Home of great thinkers" haswaa!,hawa Chawa sijui viwavi jeshi hawakuwepo kwa wingi. Na hili wimbi la Chawa kuongezeka humu...
  3. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, kukosa akili, kuwa Chawa na kusifia viongozi ni vigezo vinavyofaa kuwa mbunge kupitia CCM badala ya uadilifu na utendakazi?

    Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM? Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  5. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Gen-Z wa Kenya wanataka kujinasua wa kwetu wenyewe ni Chawa wa Mama!

    Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali unajiuliza ni wapi tulipokosea?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa kutekana na siasa chafu bongo, alijipenyeza kwa watawala kama mshenga (chawa) akaukamata moyo wa mfalme kwa ushauri wa hovyo

    Ndugu zangu tegeni masikio hapa! Katika enzi za mfalme mwenda zake! Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana! Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza! Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    kKwenye dakika za jioni kabisa, mkeka wa mama umetoka bila majina ya chawa maarufu kupenya. Nimepitia ule mkeka zaidi ya mara tatu lakini sijaona jina la Pasco Mayalla, Mchungaji Peter Msigwa na Lucas Mwashamba. Sitaki kuamini kama mama hana taarifa zao, sijui inakuwaje watu wengine wa ajabu...
  8. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya awalia: Gwajima 3, Chawa 0

    Mpaka sasa Gwajima anaongoza kwa magoli 3. Mashambulizi toka ile timu nyingine ni makali lakini kutokana na kuwa katika hali ya panick wamekuwa wakiupiga mpira nje mara kwa mara! Nini kitajiri baada ya dakika tisini! Macho na masikio yetu uwanjani!!!
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tusichanganye kati ya Right Hand Man wa tajiri na Chawa wa tajiri. Hawa ni watu wawili tofauti!

    Right Hand Man ni mtu wa kuaminika, msaidizi wa karibu ambaye hukusaidia kutimiza malengo na shughuli zako. Anawajibika kwa spidi ya mategemeo yako. Ni mtu ambaye anaweza kumudu kazi za maana, na anakushauri kwa uaminifu bila kujali maslahi yake binafsi. Chawa, kwa upande mwingine, ni mtu...
  11. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani !

    Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani . Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode . MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Cassypool, Chawa wa Rais Samia nchini Kenya

    Huyu jamaa aniachaga hoi kwa vituko vyake.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuhifadhi rekodi za "MATAGA" & "CHAWA" kwa awamu tofauti

    Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo. Nimeona heri tukumbushane hapa wale wanaharakati wa awamu ya 5 maarufu kama Mataga na hawa wa sasa kama chawa. Tujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ole ole ole anayedhulumu na kunywa damu, endelea kunywa na kusaza, ghadhabu ya aliye juu inatisha na kuogofya

    Hakika amejiangamiza kwa mikono yake, maana ghadhabu ya aliye juu, italamba ukoo na kizazi hadi kizazi, hawataona ile amani, zaidi ya hofu na maombolezo, asema BWANA, mwenye sikio asikiye, mwenye macho aone.
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nguo ya mwendawazimu haikosi chawa, mnaojiita chawa mwendawazimu wenu ni nani?

    Nahitaji majibu
  16. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Export Rate ya Uganda huko EU imefika 60% je, ya Chawa Country imefikia Kiwango gani? Njoo mtudanganye sasa

    Na vitu vilivyowapaisha Uganda ni kama vifuatavyo ... 1. Coffee 2.Fish 3. flowers 4. Vegetables
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

    Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso. Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
  20. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
Back
Top Bottom