Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi.
Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli .
Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
Chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wameahidi kutoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia Chekechekea hadi elimu ya juu bure iwapo watanzania watakipa nafasi kushika dola.
Akizungumza na vijana kwenye kongamano la vijana wa CHAUMMA kuelekea siku ya vijana Augosti 12 mwaka huu naibu...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila, ametoa wito kwa watanzania, hususan vijana, kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa kupiga kura ili kuleta mabadiliko ya kweli nchini.
Akizungumza Agosti 10, 2025 katika kongamano...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Tabata Segerea, Agness Kaiza, amekanusha madai kwamba chama chake si mbadala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kaiza amesema mtazamo huo si sahihi kwani CHAUMMA kina dira, sera, na mikakati yake ya kipekee inayolenga kuleta...
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.
Leo nimeiona hii Clip ya...
Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wamekutana katika kongamano maalumu lililofanyika kwenye viwanja vya Tabata Shule, jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam.
Tukio hilo limeandaliwa na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Agnesta Kaiza...
My Take
Miaka 15 Inamtosha
================
Devotha Minja ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama hicho amewasili hapa Tabata Shule Jijini Dar es Salaam kuongea na Wanachama Wanawake katika kikao cha ndani lakini kutokana na kuwa wengi wamefanyia Mkutano...
GT
Wonders shall never end leo chauma wanakazi moja tu kusomba.watu kutoka viunga mbalimbali vya Tabata kwa ajili ya mkutano.
Naona wanafauta nyao za wafadhili wao. Leo daladala zimepata tenda nzuri.
NRNE
Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila amesema;
"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari...
Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA.
Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA.
Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam.
Baada ya...
Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99.
Upinzani nchi hii bado sana.
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Salum alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kabla ya kuhamia CHAUMMA.
Wakuu,
Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA...
Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA.
Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
Sio siri wala kificho tena. Mliopo karibu na Freeman Mbowe mwambieni asijifiche tena, atoke kichakani na kulitangazia Taifa siku gani anahamia Chaumma.
NB
Poleni kwa msiba wa spika mstaafu Job Ndugai. Atapewa mazishi ya kitaifa?
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe baada ya kutangaza kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema atachukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro.
James amejiunga na chama hicho leo, Jumatano Makao Makuu ya Chama cha...
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.