Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,919
- 6,529
Leo Jumamosi Julai12, 2025 Chama Cha ukombozi wa umma CHAUMMA kimeanza ziara zake mkoani Tanga kwa kutumia usafiri wa Helkopta maarufu kama 'Chopa', wakianzia Wilayani Korogwe na Jioni hii wakitarajiwa kuwa na Mikutano yake Tanga Mjini. Katika ziara hiyo Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wanashiriki.