chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Act wazalendo na CHAUMMA ni ngumu kusikiliza hoja za Polepole buyu la asali wanalilamba kila siku wao uchaguzi uwe na dosari wanaendelea

    Watanzania wangekuwa wanajitambua hata kwenye mikutano yao wangewasusia kabisa hawa wahuni wanaotaka kuaminisha umma kuwa kuna vyama vya upinzani kumbe ni tawi la chama chenye manyaya makubwa yaliyounganishwa NIDA na INEC.
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Hadi sasa tumeshateua wagombea udiwani 3,182 kati ya kata 3,962 kwa upande wa Tanzania Bara

    Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara ambao kwa sasa wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwenye tume. Kigaila ameeleza kuwa wagombea...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yaahidi kuondoa njaa na magonjwa ya lishe

    Mtiania mwenza wa urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata lishe bora kupitia mpango wao wa “ubwabwa kwa wote”. Mpango huo, amesema, unalenga kuondoa njaa na kupunguza magonjwa yanayohusiana...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikiwa Rais, nitavaa kapelo, Tisheti na Jeans Mtaa kwa mtaa

    Mtiania urais wa Tanzania wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameendelea kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili kumwezesha kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025. Mwalimu ambaye pia ni...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yavuna wanachama wapya Makambako

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanikiwa kupata wanachama wapya katika ziara ya kisiasa ya mtiania wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, Salum Mwalimu, iliyofanyika leo Jumatatu, Agosti 18, 2025 mjini Makambako. Miongoni mwa waliojiunga na chama hicho ni wanachama kutoka vyama...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia akashinda uchaguzi kwa asilimia 97%. Watanzania walishachoka na Upinzani wa mchongo

    Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana. 1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA 2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI 3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO 4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA adai yeye ni msela na mwaka huu ni mwaka wa masela kukaa Ikulu

    Salum Mwalimu ameonekana mahala akiomba masela wenzake wamchague ili msela mwenzao aingie ikulu na kutatua kero zao. Naona CHAUMMA sasa imegeuka kuwa vituko.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi aliye timkia CHAUMMA akitokea CCM afunguka kutishiwa

    Diwani mstaafu Petro lobora wa kata ya Themi mkoani Arusha kupitia chama cha Mapinduzi CCM amefunguka baada ya kuhamia CHAUMMA na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo hiyo ya udiwani katika kata yake hiyo ya Themi.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16

    Aliyekuwa diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Themi,Petro Lobora, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 16.
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA & ACT wapongeza Mkutano wa Putin & Trump

    Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada mwingine wa CHADEMA, Dorcas Francis ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Jimbo la Kawe, Dorcas Francis amehama rasmi leo Agosti 15, 2025 na kutangaza kuhamia chama cha CHAUMMA na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu w chama hicho, Benson Kigaila Chanzo: Mwanzo TV Plus
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Grace Kiwelu mtia nia Ubunge CHAUMMA Jimbo la Vunjo arejesha fomu

    Mtia nia nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Grace Kiwelu, amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vunjo, huku Katibu wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema akitaka uchaguzi uwe huru na wa haki Lema ameyasema hayo leo Agosti 14, 2025...
  13. R

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA wanatendea sana haki sera yao ya Ubwabwa kwenye Mikutano lazima wananchi wale

    Wakuu, Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye mikutano yao maana tunatika nyumbani bila bajeti ya mchana tunaenda kula ubwabwa wa CHAUMMA
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yawasha moto Same Magharibi urejeshaji fomu za watia nia

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoani Kilimanjaro kimezindua ofisi zake za Jimbo la Same Magharibi Mkoani humo sambamba na kuanza kupokea fomu za watiania walioomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea nafasi ya Ubunge Akizungumza Agosti 13, 2025 wakati akirejesha fomu ya kuwania ubunge Jimbo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu ajibu kuhusu Polepole Kumbeza

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko kutimkia CHAUMMA?

    Mheshimiwa Esther Matiko huenda akatimkia CHAUMMA kuunga mkono juhudi za Mgombea Urais wa Chama hicho Salum Mwalimu.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lumola Kahumbi ajiondoa CHADEMA, atangaza kuhamia CHAUMMA

    Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama. Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Utashangaa CHAUMMA & ACT wamepata kura Milioni 3 kila mmoja!!

    Kimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Wafuasi wa Chadema waliohamia Chaumma bado Akili zao zote zinawaza Chadema ila Matumbo yao ndio yameketi Chaumma?

    Kama unabisha Angalia Yericko Mengele anavyohangaika kuitangaza Chadema mitandaoni ilhali ameshahamia Chaumma Je Utumbo unakishinda kichwa au ikoje? Mlale unono 😄✔️
Back
Top Bottom