Je ACT Wazalendo na Chauma wamelinda kura? Walisema watalinda kura sisi tulisema hapa huwezi kwenda kulinda kura ambazo hata hazitahesabiwa.
Sasa tujiulize ukiacha kufuata posho walizopewa walienda kwenye uchaguzi kufanya nini zaidi ya kuuwa vijana wetu tu na kuchochea hasira za wananchi...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa.
Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
It is a dark history in our country kuwapoteza ndugu zetu, poleni saaaana Watanzania wenzangu.
Back to the topic G55 walijitoa Chadema na Kila siku walikuwa wanaitisha ma press conference kuiponda Kwa kugomea kushiriki uchaguzi.
Waliamua kushiriki uchaguzi, naomba kuuliza wameshinda majimbo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike.
Sigrada...
“NARUDI ZANGU CHADEMA”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewataka wananchi wa Mkoa wa Morogoro kujiandaa kunufaika na neema ya sera ya viwanda, kikiahidi kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa kitovu cha viwanda kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere.
“Morogoro ni mkoa wa kimkakati kwa ajili ya viwanda kwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure kikamilifu kama ambavyo inatakiwa.
Moza ameyasema hayo leo Septemba 29, 2025 akizungumza na...
"Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu.
"Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao...
Naona wasanii wakiendelea kutumika kweli kweli na CCM, najiuliza muafaka wao ni upi baada ya uchaguzi huu?
Lakini wananchi baadhi yao wameonyesha kumuunga mkono Samia na kusema amefanya mengi sana na wao hawana cha kumlipa zaidi ni kumpa kura za ndio Oktoba 29, 2025 ili aendeele kuwaletea...
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
Mgombea mwenza wa urais Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kikiingia madarakani kitafufua zao la kahawa Vunjo na Kilimanjaro kwa ujumla ili uchumi wa watu ukue.
Aidha amelaumu changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wa Kilimanjaro akisema imekuwa sababu...
Mgombea ubunge Same Magharibi Mkoa wa Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Gervas Mgonja, ametumia mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 17,2025 katika uwanja wa Cooperative, kumnadi mgombea udiwani wa Mhezi jimboni humo kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anthony...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimeahidi kuweka mfumo wa uwazi na kudumu wa usimamizi wa miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) ikiwamo migodi, iwapo kitachaguliwa kuongoza nchi Oktoba 29, mwaka huu.
Kampuni zinatakiwa kutumia sehemu ya mapato yao kupitia CSR kuwekeza katika...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) Agnesta Lambert Kaiza amesema wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo wamemwambia kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kura ya Urais watampigia mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan, huku kura ya...
Bw. Bismass Shillah aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadae kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ametangaza kurejea rasmi CHADEMA kwa kile alichodai kuwa amegundua alifanya usaliti kwa kuangalia tamaa yake ya ubunge.
Ameyasema hayo leo Septemba 11, 2025...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 8, 2025, ameendelea na kampeni zake za mtaa kwa mtaa katika Kata ya Goba, mtaa wa Matosa, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Kinabo amemuita mgombea Ubunge wa CCM...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Agnesta Lambert Kaiza amemsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatenga fedha za kutosha kwenye mikopo kwa ajili ya wanawake, vijana na wenye ulemavu.
"Mama Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani akasema...
"Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri."
"Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.