chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA kuzindua kampeni Agosti 31, 2025 Kinondoni

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa umma wa CHAUMMA, John Mrema amebainisha hayo kwenye taarifa aliyoitoa kwenye ukurasa...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yamjibu Polepole madai ya kutumika na CCM

    Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake kimebaki kuwa chama cha upinzani chenye msimamo wa kusimamia kile alichokiita kuwa ni...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea wa CHAUMMA na TLP wasikitika kuenguliwa na tume Longido

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki. Mbali na Mayunga, mwingine ambaye hakuteuliwa ni Johnson Mauma wa Chama cha TLP, ambaye naye anadai sababu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Jimbo la Kinondoni ajinadi kumng'oa Abbas Tarimba wa CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala. Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaiza: Hakuna mwana CHADEMA aliekuja Chaumma aliesema anarudi nyumbani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa anazo haki zote za kushiriki uchaguzi huo. Akizungumza na wananchi wa Segerea, Kaiza aliahidi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA achanganya mafaili akifikiri bado ni CHADEMA, asema 'Peoples'

    Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Amos Makala anaondolewa kwenye uenezi wa CCM baada ya kumaliza kazi aliyopewa ya kuijenga kivuli cha CHAUMMA

    Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini. Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia. Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
  9. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mkubwa Chaumma ikawa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu October

    Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais. Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge . Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitaa ya siasa- Soma kwa makini: Memorundum of Undestanding "MoU" kati ya CCM na CHAUMMA

    "....TULIKOTOKA NI KARIBU SANA KULIKO TUNAKOKWENDA......" Kwanini??? Samahani ndugu yangu: Umenichekesha sana karibu nipasuke mbavu. Kwanini unauliza majibu? Hivi hujui kuwa katika "MoU" ya CCM na CHAUMMA ilikuwa na kipengele cha CCM kuwaachia majimbo CHAUBWABWA? Viongozi wa cha CHAUBWABWA...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere achukua fomu kuwania Ubunge Kigamboni, ahaidi kufanya mabadiliko

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kigamboni, Yericko amesema kuwa Wanakigamboni wanahitaji mabadiliko, na kwamba...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawataki CCM ishike madaraka, wakati huo huo hawaitaki ACT iwepo kokote duniani na pia hawaitaki CHAUMMA popote Tanzania Wanapigana na wowote!

    Hao ndio chadema ni kama nyoka Fulani anaitwa koboko yeye Huwa anarusha sumu hata majani yakitikisika tu ! Wakati mwingine hawataki hata nyoka wenzake anaona wote ni adui zake !! Chadema anaweza kukuona binadamu pale unapokuwa upande wake lakini saa yoyote ukiwa upande mwingine wa chama...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee

    Waliokuwa wanachama wa CHADEMA Kata ya Kinyerezi na baadae wakahamia Chaumma leo wametangaza kurudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee Sababu ya kuhama mifumo iliyopo kwenye chama CHAUMMA si ya katiba bali ni mifumo ya watu binafsi ili kupata ubunge na udiwani
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Gwajima amehamia NCCR Mageuzi na Mwabukusi ameamua kumuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA

  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vitus Nkuna kuwakilisha CHAUMMA Ubunge Iringa Mjini

    Chama cha Ukombozi wa Umma kimemteua kada wake Vitus Nkuna kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu (2025) kwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA Tanzania Bara Benson Kigaila amemtangaza Nkuna kugombea...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari apitishwa na CHAUMMA kuwania Ubunge Jimbo la Uyole dhidi ya Dkt. Tulia

    Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chaumma kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote. Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA ni vigumu kuungwa mkono na wananchi maana wametokana na usaliti. Baada ya uchaguzi nao wanaishia

    Uchaguzi ukiisha tu, nao wanapotea maana hawana mtu hata mmoja nyuma yao. Na watu wana hasira ya kuwa wasaliti wa chadema ya kweli! Watakuwa toilet papers as put by Kipanya
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chaumma na ACT , na baadhi ya vyama vile 11 watapewa viti vya Ubunge na udiwani kuhalalisha haramu

    Time will tell! Mark this thread!
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha

    ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha na wakamka, ndivyo hivyo Chaumma ni project ilikuwa inahusu ubwabwa leo hii inamgombea Amesema Polepele
Back
Top Bottom