chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Tutakuja na mkakati wa kilimo cha umwagiliaji

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Edward Kinabo wa CHAUMMA ataka mdahalo wa wazi na Anjellah Kairuki Jimbo la Kibamba

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 8, 2025, ameendelea na kampeni zake za mtaa kwa mtaa katika Kata ya Goba, mtaa wa Matosa, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura. Kinabo amemuita mgombea Ubunge wa CCM...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge CHAUMMA amnadi Samia jukwaani akipiga kampeni

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Agnesta Lambert Kaiza amemsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatenga fedha za kutosha kwenye mikopo kwa ajili ya wanawake, vijana na wenye ulemavu. "Mama Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani akasema...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salumu Mwalimu: Nasikia sauti ya Mungu, Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu

    "Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri." "Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Segerea ampongeza Rais Samia kwa Mikopo ya Vijana na Wanawake Bila Riba

    Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea Dar es Salaam kupitia CHAUMMA Ndugu Agnesta Kaiza amsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Mamilioni kwa ajili ya kuwakopesha Wanawake na Vijana wote Nchini bila riba.
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkurugenzi wa Uenezi CHAUMMA bwana John Mrema akisalimiana na James Mbowe kwenye kampeni Jimbo la Hai

    Mkurugenzi wa Uenenzi na Mawasiliano CHAUMMA ndugu John Mrema (Pichani) akisalimiana na mgombea Ubunge kupitia chama hicho Jimbo la Hai ndugu James Mbowe kwenye muendelezo 2a kampeni za uchaguzi mkuu.
  7. mtotofisi

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMMA katika kata ya Songambele kasema CCM oye

    Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!! Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 KIGWEA: Tulipewa TSH. 20,000 ili tuonekane tumejivua CHAUMMA kutoka CHADEMA

    Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama chao na kujiunga na CHADEMA. Soma pia: Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Yaahidi kuwashughulikia walioua viwanda, kuondoa kodi kwenye dawa

    Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge wa CHAUMMA aahidi uji, ubwabwa na "wifi" ya bure

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Lindi mjini, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi, Bw. Homoratus Daud, amezindua katika kampeni ya Ubunge pamoja na Madiwani huku wakiahidi wakifanikiwa kuchaguliwa katika nafasi hizo watahakikisha wanajenga...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Alex msama aorodheshwa kugombea ubunge jimbo la ukonga kwa tiketi ya chaumma, mwenyewe akanusha vikali

    Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, Msama aliachwa kwenye majina yalirudi jimboni kwa ajili ya kura za maoni ambapo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hashim Rungwe: Sisi CHAUMMA kuna watu wanatupa hela kufanya yote haya, kuna siku nitawataja

    Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa ========== Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema Chaumma wanapopata fedha!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Ahadi hewa zilzotolewa kwa vigogo na wanachama wa chadema kabla ya kujiunga chaumma

    ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA . 1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote. 2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni. 3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi. 4. Maelfu kwa maelfu...
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Chaumma mnatia aibu

    Yani kujimwambafai kote kule. Hawa ndio watu wanaohudhuria uzinduzi wa mikutano yenu kweli?
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu ageuka msanii kwenye jukwaa. Awaimbisha wananchi waliohudhuri kwenye kampeni za CHAUMMA

    Hivi ndivyo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu alivyokaribishwa jukwaani kuwahutubia wafuasi wa chama hicho kwa wimbo wa Mchizi Mox uitwao ‘Mambo Vipi!’ Leo Agosti 31, CHAUMMA kinafanya ufunguzi wa kampeni katika...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: CHAUMMA ikishika dola, itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Afrika

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika. Akizungumza leo katika Viwanja vya...
  17. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalim: Mkinichagua mshahara kima cha chini ni 800,000

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim amesema Serikali yake ikiingia madarakani itahakikisha inaboresha huduma mbalimbali yakiwemo maboresho ya sera ya habari ili vyombo vya habari vifanye kazi kwa weledi na kuifanya tasnia...
  18. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA wafurika kusikiliza sera za wagombea wao

    Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 31, 2025. Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyumbani kumenoga, waliosepa kwenda CHAUMMA wamerudi CHADEMA!

    Waliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣 Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo unyanyasaji dhidi ya wanawake, uongo na ahadi hewa ya kupewa mikopo.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA walituahidi bodaboda na shilingi 15 lakini wamekuwa wabinafsi, kwahiyo tunaondoka

    Leo, baadhi ya wanachama wa CHAUMMA waliokuwa awali CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo ufisadi, unyanyasaji dhidi ya wanawake, na kutowapa mikopo waliyoahidiwa. Vijana waliokuwa wameshatiwa ahadi za boda boda pia wamegundua kuwa ahadi hizo...
Back
Top Bottom