Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mgombea mwenza wa urais Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kikiingia madarakani kitafufua zao la kahawa Vunjo na Kilimanjaro kwa ujumla ili uchumi wa watu ukue.
Aidha amelaumu changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wa Kilimanjaro akisema imekuwa sababu kwa wao kunywa gongo, pombe kali na kukosa uelekeo wa maisha.
Amesema vijana wamejikatia tamaa ya maisha kutokana na kukosa ajira, kukosa urahisi wa kufanya kilimo hivyo ameahidi kufufua zao la Kahawa katika miaka mitano ya kwanza wakiingia madaraka