Je ACT Wazalendo na Chauma wamelinda kura? Walisema watalinda kura sisi tulisema hapa huwezi kwenda kulinda kura ambazo hata hazitahesabiwa.
Sasa tujiulize ukiacha kufuata posho walizopewa walienda kwenye uchaguzi kufanya nini zaidi ya kuuwa vijana wetu tu na kuchochea hasira za wananchi?.
Wangeungana na CHADEMA mabadiliko yafanyike badala yake wameweka matumbo mbele na nchi nyuma na kuungana na mafisadi sasa tuna aibu ya nchi ambaye ni Raisi fake.
Vijana wamekufa na wenyewe wamerudi mitaani na aibu