Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara Benson Kigaila amedai kuwa chama hicho kinaweza kushika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama na wafuasi baada ya chama tawala (CCM), ingawa katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita wamepata Viti vichache vya...
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi
Chadema
CCM
ACT Wazalendo
Chaumma
Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna
Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru,Mkoani Arusha siku ya Jumamosi tarehe 24 Januari,2026.
Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei...
Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi.
Taarifa zingine zinaeleza kwamba anayefuatia kuja kapiga goti hadharani ni Yerricko Nyerere ambaye inaelezwa kwamba huko Kigamboni aliambulia namba za...
Tuliingia katika uchaguzi huku tukijua wazi matatizo yaliyopo katika mfumo wa Uchaguzi nchini hasa Tume ya Uchaguzi, Tunajua mazingira ya kisiasa yalivyo magumu, Na Msimamo wetu kama Chamma tunaamini kuwa njia ya kupambana nayo ni meza ya Maridhiano/majadiliano tu, Katika hili tunaamini...
Je ACT Wazalendo na Chauma wamelinda kura? Walisema watalinda kura sisi tulisema hapa huwezi kwenda kulinda kura ambazo hata hazitahesabiwa.
Sasa tujiulize ukiacha kufuata posho walizopewa walienda kwenye uchaguzi kufanya nini zaidi ya kuuwa vijana wetu tu na kuchochea hasira za wananchi...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa.
Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
It is a dark history in our country kuwapoteza ndugu zetu, poleni saaaana Watanzania wenzangu.
Back to the topic G55 walijitoa Chadema na Kila siku walikuwa wanaitisha ma press conference kuiponda Kwa kugomea kushiriki uchaguzi.
Waliamua kushiriki uchaguzi, naomba kuuliza wameshinda majimbo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike.
Sigrada...
“NARUDI ZANGU CHADEMA”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewataka wananchi wa Mkoa wa Morogoro kujiandaa kunufaika na neema ya sera ya viwanda, kikiahidi kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa kitovu cha viwanda kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere.
“Morogoro ni mkoa wa kimkakati kwa ajili ya viwanda kwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure kikamilifu kama ambavyo inatakiwa.
Moza ameyasema hayo leo Septemba 29, 2025 akizungumza na...
"Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu.
"Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao...
Naona wasanii wakiendelea kutumika kweli kweli na CCM, najiuliza muafaka wao ni upi baada ya uchaguzi huu?
Lakini wananchi baadhi yao wameonyesha kumuunga mkono Samia na kusema amefanya mengi sana na wao hawana cha kumlipa zaidi ni kumpa kura za ndio Oktoba 29, 2025 ili aendeele kuwaletea...
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
Mgombea mwenza wa urais Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kikiingia madarakani kitafufua zao la kahawa Vunjo na Kilimanjaro kwa ujumla ili uchumi wa watu ukue.
Aidha amelaumu changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wa Kilimanjaro akisema imekuwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.