chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ulaji Chakula cha Aina Moja Chatajwa Chanzo cha Udumavu, Sylvia Sigula Ahoji Bungeni

    ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula. Kauli hiyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro awataka viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo chanzo cha migogoro

    Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya migogoro. Aidha amewataka viongozi ngazi ya mkoa hadi kijiji kutumia njia mbadala kwa ajili ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Teuzi na tenguzi ni chanzo cha uchawa na ukosekanaji wa uzalendo

    Binafsi naona kuna haja ya kupitia upya swala la maswala ya teuzi. Rais hapaswi kuwa na power Pana namna hiyo ya kuteua na kutengua kiasi hiki. Ningeshauri kwa positions nyeti kama za kiusalama (tiss na police na jeshi) hapa power irudishwe Kwa wananchi Yani kuwe na kampeni kabisa watu wanadi...
  5. JamiiForums Tanzania Kula kula na kutapika katika bus Nini chanzo na suluhisho lake

    Kuna mtu kilometer 200 hatembei lazima apate njaa atake kula na biscuits na juice na tunda hazimtoshi yeye hutaka mayai,mahindi,samaki,kuku ,chipsu n.k Tatizo sasa wengine hutapika ukikaa naye seat moja utashuhudis..Nini chanzo cha Hali hii na victim yampasa azingatie Nini haswa
  6. JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete. Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
  8. JamiiForums Tanzania Rahim Mwanga: Kustaafu hakupaswi kuwa chanzo cha matatizo ya kifedha, Watumishi jifunzeni kuwekeza mapema

    Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake. Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
  9. JamiiForums Tanzania Hadi sasa sijaona online outlet hapa TZ ilio bora katika uandaaji wa content na habari hadimu zaidi hawa wanaitwa "The Chanzo". Tunasubiria TV chanel.

    https://youtu.be/oOR7rZHenKg?si=3XnIsvujJ8Er5PQp
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  12. JamiiForums Tanzania Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

    Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
  13. JamiiForums Tanzania Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Njaa, ndio chanzo cha kila maamuzi

    Urafiki,Kuchukiana, Mpaka mke/ Mme ulie nae Yuko na wewe kwa sababu ya Njaa, ngoja siku akijipata Kiuchumi ndo utajua Ukweli Wa Rangi za huyo mwenza wako. "Hata watu wanaokusifia mda wote, wao kukukosoa hawawezi kwa sababu ya Njaa, wakikukosoa wakose chakula"
  15. JamiiForums Tanzania Chanzo kikuu cha Umasikini na migogoro barani Africa ni Ubinafsi

    Great Thinkers. 1..Somemi mpaka.Phd 2. Salini saa 24.hrs 3. Andaeni.michakato sana. 4.Tengenezi.dira hata za miaka 100. 5.Badilisheni.viongozi.muwezavyo. Yote hayo ni bure kama hatutaacha kuwa wabinafsi na ndo kitu.kinatafuna bara lote la africa kutumbukia kwenye umaskini mkubwa. Viongozi na...
  16. JamiiForums Tanzania Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

    Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
  17. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Magonjwa Mengi.

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu chanzo cha magonjwa mbalimbali yanayoathiri binadamu duniani. Wakati baadhi ya magonjwa yanatokana na mabadiliko ya mazingira, bacteria, na virusi 🦠, kuna madai kwamba magonjwa mengine hutengenezwa maabara kwa malengo maalum, kama vile udhibiti wa idadi ya watu...
  18. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha raia wengi wa Nigeria kuwa matapeli wa kimataifa waliokubuhu duniani?

    Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa kimata8fa tofauti na nchi nyingine za Africa?! Utapeli ni kama kipaji huko Nigeria?!
  19. JamiiForums Tanzania Imani hizi! Je, unajua kanisa linaitwa "Chanzo halisi?

    Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi" Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi😂😂 Na huyo...
  20. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Ugomvi wa Vinicius jr vs Luca modric jana

    HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA: Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real Madrid C.F. ,real Madrid waliruhusu Corner na Leganese wakaenda kupiga corner hiyo. Nahodha Mkuu wa Real...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…