chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Mawazo biriani chanzo cha kuchelewesha maendeleo kwa vijana

    MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Uaminifu na Uadilifu kinazidi kupungua miongoni mwa Watanzania, chanzo ni nini?

    Tafakari mifano kadhaa ifuatayo na kisha tujadili nini chanzo cha kuporomoka kiwango cha uaminifu na uadilifu kwenye jamii yetu ya Kitanzania. 1) Umetuma fedha kwa njia ya simu kwa makosa, kwa watu watatu tofauti, halafu wapigie simu na uwajulishe kwamba umewatumia fedha kwenye simu zao kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

    Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct. Sehemu ya kwanza. Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jicho, Kisukari ni chanzo kikuu cha Upofu Kanda ya Ziwa

    James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Shimba ameeleza kuwa Hospitali hiyo kwa mwezi inapokea Wagonjwa wa Macho zaidi ya 1000...
  7. JamiiForums Tanzania Kukiri kwa Mwigulu kuhusu tozo, kuwa walifanya makosa kutukata mara mbili kutokana na chanzo kimoja, ni uthibitisho kuwa hatuna wabunge makini!

    Nilimsikiliza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, hapo jana Katika kile alichokiita ni kutoa ufafanuzi na kilio cha wananchi kuhusu tozo nyingi wanazokatwa kupitia miamala ya simu na sasa kupitia Benki. Katika maelezo yake alikiri wazi kuwa ni makosa kumkata mwananchi tozo, zaidi ya moja, Katika...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: Chanzo cha vifo vya watoto 21 waliofia Bar Afrika Kusini, ni kukosa hewa

    Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu. Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ujerumani na Poland zaanza kutumia kuni kama chanzo cha nishati

    Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini! Aisee ni jambo la...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha udhalilishaji katika jamii

    Utafiti binafsi nilioufanya umegundua kuwa chanzo cha ongezeko la kasi ya matendo ya udhalilishaji katika jamii ni jamii yenyewe inajidhalilisha. Hii nikwasababu wanajamii wenyewe katika zama hizi wamekua wakijidhalilisha katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo mavazi. Jamii ya sasa imekua...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Nini kilikuwa chanzo na njia gani ulitumia kujinisuru?

    Habari Watanzania! Leo nina stori ya kweli ambayo imetokea katika maisha nikiwa mkubwa hivi. Basi bwaana baada ya kumaliza masomo nilianza vijikazi vya hapa na pale kuendesha maisha yangu. Nilipigana kama miezi 5 bila mafanikio. Niliamua kwenda mwambao wa ziwa Victoria kuangalia fursa zingine...
  12. JamiiForums Tanzania Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

    Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku. Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Chanzo kipya cha ajira kwa vijana

    UTANGULIZI "Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine viongozi wa kisiasa wamekuwa wakiuimba kama njia Yao nzuri ya kuwahadaa vijana na wazazi wa vijana hao Ili...
  14. JamiiForums Tanzania Nashauri daraja jipya la Wami liwe la kulipisha. Chanzo muafaka cha tozo/Mapato

    Kwakuwa tumedhamiria kukamua Kila Senti, kama ilivyo kwa Daraja la Kigamboni na lile la TanZanite, nashauri Mchungaji, Dr Mwigulu Nchemba aanzishe TOZO ya kupita Daraja kubwa, jipya, zuri la WAMI. MAGARI yanayopita pale ni mengi sana, itakua chanzo kizuri sana Cha Mapato. Nimemaliza, acha...
  15. JamiiForums Tanzania Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga

    Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka. Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
  16. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha matukio mabaya ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mawimbi ya joto, ukame, mafuriko, dhoruba za...
  18. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji Ilani ya CCM umegeuka chanzo cha Umaskini, njaa na mateso Tanzania

    Wakuu mambo si mambo. Kila goti sasa litapigwa. Na kila neno lilokuwa halijasemwa sasa litasemwa. Ilani ya Chama cha mapinzduzi kama zilivyo ilani za vyama vingine vya kisiasa ndio hutoa picha halisi ya namna Nchi itakavyopiga hatua kimaendeleo na ktk nyanja zingine za maisha. Huwezi kupanda...
  20. JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa ya serikali ndio chanzo cha hizi kodi na tozo za uonevu

    Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili. Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…