chanika

Chanika is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,450.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani kata ya Chanika atoa milioni 40 ikiwa ahadi yake kwa wakazi wa eneo hilo kwa ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo wa Serikali za Mitaa, ambapo aliahidi kutoa Sh. Milioni 10 kwa Kata yake na leo ametimiza ahadi hiyo...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

    Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu) Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa chanika mil 22

    Nyumba inauzwa chanika mwisho senta milion 22, (imeshuka bei njoo hata na nusu anapokea maana ana shida) ina viumba v2 kimoja masta sebule jiko na pablic toile. Full tiles and gypsum umeme tayari. Bei inapungua njoo site Kutoka chanikamwisho hadi kwenye nyumba dk5 kwa mguu Call 0743257669
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania KERO Natamani kupata majibu kutoka TANESCO Chanika, Ilala kulikoni mnakata sana umeme huko? Shangazi yangu anaishi huko anadai umeme unakatika hata mara 10

    TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana kiasi kwamba wakazi wengi wanachoshwa sana na hilo tatizo Alinieleza umeme unakatika hata mara 10...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kukatika katika umeme kila siku baadhi ya nyumba mtaa wa Zavala-Kwambiki Chanika Ilala, Dar es Salaam

    Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku ikifika saa moja usiku mpaka saa nne usiku kuanzia mwaka jana 2024 mwezi wa Tisa. Nili-report...
  10. Fateema

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kazi za ndani na watu wa usafi wanapatikana Chanika Mwisho

    Habari zenu wana JF, Kwa wale ambao mna shida na wafanyakazi wa kazi za ndani nimefungua ofisi. Tuna huduma ya wafanyakazi wa kazi za ndani. Wapo wanao weza kulala kwa mwajiri na wapo ambao wanaenda na kurudi. Pia kama una mgahawa wa chakula, wanaweza pia kufanya kazi hiyo. Pia tunatoa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka za Serikali za Mitaa Chanika (Dar) zimeshindwa kusimamia ukusanyaji taka katika mitaa ya Gogo, Bondeni na Polisi

    Kwa takribani miezi mitano, Mzabuni aliyechukua tenda ya Ukusanyaji taka katika Mitaa ya Chanika ya Gogo, Bondeni na Polisi wameshindwa jukumu hilo, hakuna taarifa rasmi au maelezo kutoka Serikali za Mtaa kuhusiana na jambo hili! Mzabuni huyu alijisifu sana kipindi alipokuwa akichukua tenda hii...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  13. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

    Leo nimeamini Chanika ilipaswa iwe mkoa wa Pwani. Angalia picha inajieleza kabisa
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Sofa la Mzee Bakhressa, unapata kiwanja kizuri huko Chanika, tuendelee kutafuta pesa

    Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000) Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko. Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea...
  15. The Lost Boy

    JamiiForums Tanzania TRA Chanika mnakwama wapi?

    Lau nitataka kufungua biashara leo, nikienda TRA nitapata kila kitu kwa maana TIN na Tax Clearance pasipo tabu yoyote. Tena hatumwi hata afisa kuja kuona hiyo biashara. Kimbembe ni pale utapotaka kufunga hiyo biashara. Utaambiwa andika barua ya kufunga hiyo biashara, peleka kwa mjumbe...
  16. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula, Dar es Salaam

    Habari Wana JF, Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba vitano, Stoo, na choo chake. Bei ni milioni tisini (90,000,000) Whatsapp 0622905303 Au nipigie...
  17. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  19. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nyumba Mpya Zinazozwa Chanika Zinausalama Kweli?

    Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna janja janja JF wapo watu hapa ni wajanja wa kufahamu mambo katika jiji hili la Dar es Salaam ingekuwa...
Back
Top Bottom