changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  2. Rais Aliye Madarakani Kushindwa Kuitikia Wapinzani na Kushindwa Kutatua Changamoto za Uchaguzi

    Katika siasa za Tanzania, msemo maarufu wa Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa nchi hii, "Akili ya kuambiwa changanya na zako" unatoa tafsiri ya kina kuhusu umuhimu wa kusikiliza na kujenga maelewano. Hii ni msemo inayosisitiza kuwa ni muhimu kutafuta ushauri na mawazo mengine kwa lengo la kuboresha...
  3. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  4. Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  5. T

    Changamoto za mifumo NSSF PORTAL,AJIRA PORTAL, VYETI VYA KUZALIWA, NK

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  6. Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  7. Maji, Unyevu, Fungus, paa kuvuja na Kemikali za Ujenzi — Changamoto, Uzoefu na Suluhu.

    💧🏗️ C stallion Africa kamili dhidi ya maji, unyevu na matumizi ya kemikali katika ujenzi Wadau wote wa sekta ya ujenzi – Karibuni! Wahandisi, mafundi, wakandarasi, estate managers, wamiliki wa majengo, na maduka ya hardware – huu ni mwaliko maalum wa kujadili na kutatua changamoto...
  8. Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  9. Unamfahamu Mfugaji wa Kuku ambae anapata changamoto kusimamia Shamba lake la Kuku?

    🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! 🐔 Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako! 📲 Pakua sasa Fuga App kupitia Playstore: [Fuga - Apps on Google Play]
  10. Padre Aliyejiteka ana changamoto ya Afya ya akili

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili. Akitoa taarifa hiyo...
  11. Kongamano la Xiangshan latoa ufunguo kwa juhudi za kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni jitihada muhimu za kutafuta njia ya kusuluhisha migogoro duniani. Dhana ya kongamano hilo lililotetea...
  12. TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  13. GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

    Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa. Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
  14. Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports)

    Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau. Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
  15. Ukiona hizi dalili ujue una changamoto ya nguvu za kiume

    Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona. Sisi...
  16. Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  17. K

    Picku za kichina (jmc& cannon) zinaubora gani au changamoto ipi?

    Jamani haya magari ya pickup ya kichina yanasifa zipi bora au sifa mbay ukilininagshia na hilux au isuzu au pickup zingine sokoni?
  18. Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Nilikuwa nauliza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
  19. G

    Changamoto zozote zinazohusu wakala Mpesa tu

    Kama una changamoto yoyote ya uwakala usisite kuuliza hapa nitakujibia hapa
  20. Ina maana Mashekh wao huwa hawaoni changamoto katika uongozi ?

    Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa na elimu ndogo ya kuuelewa ulimwengu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…