Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua.
Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...