changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana changamoto mtaji

    Habari jf, Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji. Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Kuna changamoto ya mifumo ya utoaji haki jinai

    Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam, imeendelea kupata changamoto baada ya kutolewa uamuzi mdogo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto zikikunyoosha ili zikufunze usikimbilie kusema umerogwa kwani utakuwa unajiroga zaidi

    Maisha yamekuwa na kaida ya kutupitisha kwenye changamoto mbalimbali iwe kwa kuzivutia mwenyewe au ziwe zimejivutia zenyewe ila hakuna namna waweza ishi pasi na changamoto. Kuna changamoto zinakuja tu hata utulie vipi hakuna namna unaweza kuzuia na kuna ambazo zinakujia ila ukitulia zaidi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha

    Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga. Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda. Kimsingi wyf...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Balozi Nchimbi: Wizara ya Kilimo ishughulikie changamoto zilizojitokeza msimu uliopita ili zisijirudie kwenye ugawaji wa pembejeo msimu ujao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo Katika ugawaji pembejeo kwani mkulima inamlazimu mtu kutoka asubuhi sana kuwahi lakini akakosa pia ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto katika kuconfirm chuo

    Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
  8. JamiiForums Tanzania DAWASA yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma

    DAWASA YAANZA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji. Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
  11. JamiiForums Tanzania Changamoto bandari ya Dar es Salaam

    Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma

    WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Kuendesha Startup: SmartBusiness – Changamoto na Mafanikio

    Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Bilioni 1.3 Kutatua Changamoto ya Maji Kijiji cha Kumubuga, Ngara

    BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji cha Kumubuga Kata ya Nyamagoma wilayani Ngara mkoani Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo...
  15. JamiiForums Tanzania Responded DUWASA: Changamoto ya kusambaa kwa majitaka Dodoma kulikosababishwa na chemba kuziba, imetatuliwa

    MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya kusambaa kwa majitaka kulikosababishwa na chemba kuziba imetatuliwa mapema mara baada ya kupokea...
  16. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

    Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kuna muda ukiwafikiria hawa members wa JF kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael

    Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael . Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  19. JamiiForums Tanzania Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  20. JamiiForums Tanzania Unapata changamoto kutumia WhatsApp?

    WhatsApp sijui wana shida gani na mimi? Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…