Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni:
1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura:
- Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
Na kwa Marais mara kwa mara hupenda sana kuwapa ama Pete au Mkufu wauvae na kama wakikupa Pete yao basi itakulazimu mara kwa mara uwe unaishikashika.
Kwa Mfano GENTAMYCINE ningekuwa Rais wa Tanzania halafu labda nikawa na Shughuli / Hafla Uwanja wa Uhuru huku Watu wakiwa wengi moja ya Sharti...
Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
Kilimo ni UTI wa mgongo
Kilimo ni maisha
Kilimo ni utajiri
Kilimo ni chakula.
Kilimo ni pesa na utajiri.
Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani.
Leo tutatazama changamoto chache na kuu zilizopo kwenye kilimo Kwa watu walio kwenye kilimo tutaelewana na wanao...
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?
Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila bado sijaona Mchambuzi Mahiri wa Mpira wa Miguu kama Dk. Leakey Abdallah ( mwana Liverpool FC...
JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo.
Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa
1. Usuli
“Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60.
Dokezo hili...
Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa).
Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba...
Habari,
Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma.
Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
Anonymous
Thread
changamoto
elimu
haki
sekondari
shule
shule za sekondari
tanzania
ufundi
wahandisi
wanafunzi
wanufaika
Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu
Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa kwanza yaani 2017-2018 kuwa baadhi yetu walipata incomplete baadhi ya masomo na we gine Carry, but...
Anonymous
Thread
changamotochangamoto matokeo udom
changamoto ya matokeo
chuo kikuu
chuo kikuu cha dodoma
WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA
https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U
Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie
Sheria za...
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..
Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba...
Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa.
Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
Anonymous
Thread
changamoto
kitengo
kubwa
muhas
sayansi
serikali
tiba
Habari wakuu
(English version below)
Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.