changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania Mvutano wa Kisheria Kati ya Oilcom Tanzania na Oryx Energies Wafichua Changamoto Katika Mfumo wa Usuluhishi Tanzania

    Kampuni za Oilcom Tanzania Limited na Oryx Energies zinakabiliana kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria na unaoelezwa kufichua upendeleo na mapungufu katika mfumo wa usuluhishi wa Tanzania. Mgogoro huu pia unaibua maswali kuhusu uwezo wa mfumo wa mahakama kushughulikia maamuzi yenye dosari za...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuko Kigamboni ni changamoto kubwa

    Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania. Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya...
  3. Chomo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kwa wanaojua ni changamoto gani imeikumba biashara ya samaki kutoka ziwa Victoria?

    Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji. Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa. Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  5. prince Rowland

    JamiiForums Tanzania Changamoto hii kwenye mfumo wa ess katika suala la e-loan

    Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napendekeza waanze haraka sana hili Zoezi na Mwamposa na Mwacha kwani nina uhakika nao wana Changamoto hii tajwa na Padri Sanga wa SAUT Mwanza

    Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tuliohamia makwetu 2024 kabla hata ujenzi hujaisha tukutane hapa kutiana moyo na kupeana changamoto

    Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa. Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Changamoto kuu zinazowakabili vijana na mabinti wa kizazi hiki na namna ya kukabiliana nazo

    CHANGAMOTO KUU ZINAZOWAKABILI VIJANA NA MABINTI WA KIZAZI HIKI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Utazifahamu changamoto kuu zilizombele yako. Utajua chanzo au vyanzo vyake Kwa uchache. Utajua namna ya kukabiliana nazo. Mimi nitakueleza, Nisikie. Fungua macho na...
  9. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, kitu gani kinakugharimu katika muda, pesa, changamoto zaidi ya 'K"?

    Hii kitu 'K' haijarishi wewe ni mzungu? "Kwasababu nimeshiriki project nyingi za wazungu wakija huku wanakuwa marimbukeni mbele ya "k". Hii 'K' kama wewe ni kijana unajitafuta kuwa makini nayo. Mbele ya hii kitu hakuna ulokole! Mimi ni mlokole tangu kitambo lakini niliwahi kupitia changamoto ya...
  10. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya usafiri kila ifikapo mwezi Disemba

    📖Mhadhara (62)✍️ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya kwenda kula sikukuu mikoa mbalimbali. Sikatai kuwa kipindi hiki vyombo vya usafiri vinazidiwa nguvu...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania "Yanga ICU: Tafakari Jinsi Burudani Inavyotufumba Macho kwa Changamoto Halisi za Maisha"

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  12. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara Kigamboni ni changamoto

    Wahusika. Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero. Kama hakukuwa na fedha za kutosha, isingekuwa lazima kufumua kipande hiki kifupi cha barabara. Matokeo yake ni kero kwa watumiaji: magari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

    Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana. Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
  14. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatika karibu kila siku jamani! Au ndio changamoto za kuondolewa kwa Songas zimeanza?

    Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme. Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika uzalishaji wa umeme nchini, na kuondoka kwake kunaweza kuleta changamoto za upatikanaji wa nishati kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Historia yake wengine bado wako vile vile bali, ni changamoto tu ndio zimefanya wapoe kidogo

    Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto. Usijifanye kipofu kupuuza historia yake bali hakikisha kuwa unajua kipi kilikuwa nyuma ya historia yake hiyo na je kuna namna ya...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

    Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda

    Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma: Wakazi wa mtaa wa Mapinduzi, Makulu Oysterbay hatuna maji takriban miezi miwili

    Habari JamiiForums, mimi ni mkazi wa Dodoma, Makulu Oysterbay mtaa unaitwa Mapinduzi. Ni miezi miwili sasa maji hajawahi kutoka hata tone maji na hamna taarifa yoyote wala tahadhari na ni hali ambayo imekuwa inatokea mara kwa mara bila maelezo yoyote. Tumeshafika kwenye ofisi za wahusika na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paul Mselle: Wenye changamoto ya kucheleweshewa “Passport” wafike ofisini watapata majibu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Mrakibu wa Uhamiaji, Paul John Mselle amesema Watu ambao wamekuwa na changamoto ya kudai kucheleweshewa kupata Pasi ya Kusafiria (Passport) wanatakiwa kufika Ofisi za Uhamiaji waelezee changamoto zao. Amesema hayo wakati akijibu...
Back
Top Bottom