changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema inatekeleza mikakati ya msamaha ya Dawa kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Akili

    Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
  2. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
  3. magodiE

    JamiiForums Tanzania Mtaala na changamoto za utekelezaji wako

    Mtaala mpya ulioboreshwa wa elimu ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania unalenga kutoa elimu jumuishi, shirikishi na yenye mwelekeo wa ujuzi zaidi kuliko nadharia. Mabadiliko haya yanakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mbunifu, mjasiriamali na mshiriki hai katika maendeleo ya jamii na taifa...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mmekutana na hii Changamoto? Kuna watu huwezi wasogelea kabisa

    Kile kitu kama cha njano kinachotoka kwenye koo chenye harufu mbaya kinajulikana kama tonsil stones au tonsilloliths kwa Kiingereza, kwa Kiswahili huitwa mawe ya tonsils au uchafu kwenye tonsils. Maelezo ya Tonsil Stones: Huchipuka kwenye nyufa ndogo (crypts) za tonsils. Huundwa na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

    Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale? Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
  6. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  7. Margaret Winston

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa changamoto na fursa katika ufugaji endelevu na salama kiafya Dodoma

    Habari wanajamii, Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii. Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaboresha Miundombinu ya Umeme Kibiti Kuondoa Changamoto ya Umeme

    SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
  9. Half american

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  10. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  11. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Kwamsingi wa madhabahu takatifu nipo hapa kusikia changamoto Yako ya kiafya au hali ya hofu na mashaka.

    Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation. Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam. Mawasiliano kalibu pm.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme kata ya Chihangu Newala Vijijini

    Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku ukipiga kuuliza changamoto wanakosa majibu hivo tunaomba wajirekebishe kwani wanakwamisha shughuli za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha rasmi siwezi pambana na changamoto za mwanamke

    nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
  14. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  15. Jan-uary

    JamiiForums Tanzania Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake. Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu. Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa ni tatizo au changamoto?

    Mara paaaap unaulizwa kitu gani kinachokukwamisha? I know you will stick on the point of financially,so Unazani kwa fikra zako pesa ni tatizo au changamoto kwetu? Tujifunze kiswahili na fikra kidogo
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni changamoto

    Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza. Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  19. murthehelp

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Changamoto ya usafiri

    Hivi changamoto ya usafiri serikali inaiona kwa upande wa dar es Salaam, Maana usafiri ni kiungo muhimu cha maendeleo na usafirishaji wa haraka. Mnalionaje hili ?
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geofrey Kiliba: Wanaokosoa ziara za TAHLISO huenda wana uelewa mdogo tunachokifanya ndio msingi wa utatuzi wa changamoto za Wanavyuo nchini

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini Ndg Geofrey Kiliba amewajibu wale waliokosoa ziara yao kama taasisi kutembelea wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mikoani, wamesema wanachokifanya ndio msingi wa utatuzi wa changamoto za Wanavyuo nchini. Ndg Kiliba amesema katika kazi...
Back
Top Bottom