chan

Chan Kong-sang (listen) (Chinese: 陳港生; born 7 April 1954), known professionally as Jackie Chan, is a Hong Kong martial artist, actor, stuntman, film director, action choreographer, screenwriter, producer, and singer. He is known in the cinematic world for his slapstick acrobatic fighting style, comic timing, use of improvised weapons, and innovative stunts, which he typically performs himself. He has trained in Wushu or Kung Fu and Hapkido, and has been acting since the 1960s, appearing in over 150 films.
Chan is one of the most recognisable and influential cinematic personalities in the world, gaining a widespread following in both the Eastern and Western hemispheres, and has received stars on the Hong Kong Avenue of Stars and the Hollywood Walk of Fame. He has been referenced in various pop songs, cartoons, and video games. He is an operatically trained vocalist and is also a Cantopop and Mandopop star, having released a number of albums and sung many of the theme songs for the films in which he has starred. He is also a globally known philanthropist and has been named as one of the top 10 most charitable celebrities by Forbes magazine. In 2004, film scholar Andrew Willis stated that Chan was "perhaps" the "most recognised star in the world". In 2015, Forbes estimated his net worth to be $350 million, and as of 2016, he was the second-highest paid actor in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    Zuchu alalamikia kutolipwa Malipo yote tamasha la CHAN 2024

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa...
  2. uhurumoja

    Hivi waamuzi wetu wameangalia CHAN kweli au tutegemee "makosa ya kibinadamu"kama kawaida!?

    Offside kwa mbaaaaali......si tunanufaika na marudio ya picha ...... of course ila ni very tight .......kosa ni la line one.....n.k ni kauli ambazo hutawala vinywa vya wachambuzi pale wanapochambua ligi ya Tanzania bara ,kauli kama hizo kwenye mashindano ya chan hatukuziona kabisa au zilikuwa...
  3. Pdidy

    Wakenya mmelogwa na nani CHAN?

    dah jana sikuamini mlivyoamua kushangiliq wamoroco hivi mmelogwa mmnwezqje kuandaa mashindano na mwishoo mnaishia kushangilia timu za wageni.........Wageningen.......... Nawaza.mmelogwa ama
  4. Think2

    Timu yangu bora ya CHAN 2024 ni Madagascar

    Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana. Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar kusikumwa chini refa hakupuliza kipyenga. Taifa stars nimeseme ukweli mlibahatisha tu kuwafunga madagascar...
  5. Waufukweni

    CHAN, Ligi Kuu ya England (EPL), Bundesliga na La Liga: Mechi za moto wikiendi hii

    CHAN: Leo katika dimba la Mandela itapigwa mechi ya mshindi wa tatu kati ya Sudan dhidi ya Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 12:00 jioni Jumamosi Fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) Madagascar vs Morocco - 🕕 Saa 12:00 jioni Jumamosi Premier League, mechi kubwa mbili...
  6. S

    Morocco Yaingia Fainali CHAN, Niliwaambia Tanzania Haikuonewa Mkanitukana

    Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati. Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
  7. Uwesutanzania

    Niliwaambia Afrika mashariki kuongoza group za CHAN ni maajabu saba ya dunia mkanibeza na kunitukana sana aya kikowapi?

    Itoshe kusema Afrika mashariki mliongoza group za CHAN ni kwa bahati na kimaajabu tu, leo hii mumeona kilichotokea. Wengine wakasema sijui Afrika mashariki mnatimu imara kwa wachezaji wa ndani, Wengine mkasema ni home advantage Wengine mkasema soka la Afrika mashariki linakua,. Haya kiko...
  8. B

    Kulikoni EACkwa CHAN?

    Polen Uganda huo ndio mpira. Sasa Fainali ni kati ya Algeria na Morocco, Bingwa ni 🇲🇦.
  9. GENTAMYCINE

    TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  10. Zanzibar-ASP

    Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

    Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024. Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu. Natamani...
  11. Mlalamikaji daily

    Nina furaha sana Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya CHAN

    Nina furaha sana.. Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua .. Sifa zote angepewa mama.. Kila kona tungesikia mama mama... Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10.. Asante Mungu.. Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu...
  12. DuaZaMama

    Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  13. M

    Wale Waghana Waliopewa Uraia hawakutufaa CHAN?!

    Mapema mwaka huu kuliinukantaarifa kuwa Kuna Waghana waliokiwa Singida Bug Star wamepewa Uraia ! Hivi Kati Yao hakuna hata Moja aliyetufaa kucheza CHAN ? Naona Timu yetu ina First Eleven ,kweli kweli nje ya hapo ,ni majanga! Kila nikiwangalia Waarabu wa Morocco naogopa fedheha!
  14. kiwatengu

    CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

    CHAN 2024 – Robo Fainali 🇹🇿 Tanzania vs Morocco 🇲🇦 📍 Uwanja wa Mkapa, Dar ⏰ Saa 2 Usiku Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN. Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020), wana uzoefu mkubwa. Taifa Stars imeruhusu goli 1 pekee hatua ya makundi, lakini Morocco walifunga 8...
  15. Nipe Maji

    SI KWELI Rais Samia ameomba CHAN iwachukulie hatua Kenya kwa kununua tiketi uwanja wa mkapa

  16. Nucky Thompson

    Kwanini Misri(Egypt) hawashiriki mashindano ya CHAN?

    Mashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi Lakini cha ajabu hawashiriki mashindano haya, ambayo wangefanya vizuri sana kama wangeshiriki kutokana na ubora...
  17. A

    Mabasi ya shabiby yapata tenda kusafirisha staff, wachezaji mashindano ya CHAN, yabandikwa logo ya chan

    Kinachotrendi mitandaoni kwa sasa ni Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line kupewa tenda ya kusafirisha staff wakiwemo wanasoka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 ambayo yanafanyika mwaka huu 2025. Kwa mujibu wa taarifa, tenda hiyo amepata Mkenya ambaye alipewa...
  18. Pdidy

    Final CHAN Tanzania vs 🇰🇪....Mshindi n Kenya niko pale kwa Massawe wakala

    Sio habari nzuri na huwa sipendi kutia watu matumaini Naandika kile nachokiamin Naoona final ya chan Tanzania vs 🇰🇪 Ft Kenya anakuwa bingwa All dbest Mawazoo haya n yangu hayafungamani na upande wowote pls
  19. DELETED ACCOUNT

    Hongera Kenya kwa kutinga hatua ya robo fainali ya CHAN

    Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo kwa kuongoza kundi. Kenya wanacheza pia kiufundi. Hawachezi tu jihadi, unaona kabisa wanacheza...
  20. Yoda

    Kwanini mechi za CHAN zimekosa hamasa na mahudhurio mazuri viwanjani Tanzania?

    Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya! Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso)...
Back
Top Bottom