Mapema mwaka huu kuliinukantaarifa kuwa Kuna Waghana waliokiwa Singida Bug Star wamepewa Uraia ! Hivi Kati Yao hakuna hata Moja aliyetufaa kucheza CHAN ?
Naona Timu yetu ina First Eleven ,kweli kweli nje ya hapo ,ni majanga!
Kila nikiwangalia Waarabu wa Morocco naogopa fedheha!