chan

Chan Kong-sang (listen) (Chinese: 陳港生; born 7 April 1954), known professionally as Jackie Chan, is a Hong Kong martial artist, actor, stuntman, film director, action choreographer, screenwriter, producer, and singer. He is known in the cinematic world for his slapstick acrobatic fighting style, comic timing, use of improvised weapons, and innovative stunts, which he typically performs himself. He has trained in Wushu or Kung Fu and Hapkido, and has been acting since the 1960s, appearing in over 150 films.
Chan is one of the most recognisable and influential cinematic personalities in the world, gaining a widespread following in both the Eastern and Western hemispheres, and has received stars on the Hong Kong Avenue of Stars and the Hollywood Walk of Fame. He has been referenced in various pop songs, cartoons, and video games. He is an operatically trained vocalist and is also a Cantopop and Mandopop star, having released a number of albums and sung many of the theme songs for the films in which he has starred. He is also a globally known philanthropist and has been named as one of the top 10 most charitable celebrities by Forbes magazine. In 2004, film scholar Andrew Willis stated that Chan was "perhaps" the "most recognised star in the world". In 2015, Forbes estimated his net worth to be $350 million, and as of 2016, he was the second-highest paid actor in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

    https://www.youtube.com/watch?v=VqJg2dTFm4A
  2. kavulata

    Wachezaji wetu kucheza ligi moja na Pacome, Mpanzu, Diara ni bahati kwao, tumieni ujuzi wao kushinda CHAN.

    Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
  3. Waufukweni

    Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  4. stakehigh

    CHAN hii naweza nkaihesabu kama hasara kubwa

    Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo: 1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa...
  5. B

    PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  6. Stephano Mgendanyi

    Viwanja Vyote vya Michezo Vipo Tayari Kutumika na CHAN Ifikapo Agosti, 2025

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa maandalizi ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) yanaendelea kwa kasi, huku viwanja vyote vilivyopangwa kwa ajili ya mashindano hayo vikiwa tayari kwa matumizi hata kama michuano ingeanza...
  7. Waufukweni

    Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  8. S

    Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  9. Dabil

    Je ni mbinu ya kimkakati kuwapa uraia wachezaji wa kigeni kwa maandalizi ya CHAN na AFCON?

    Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia. Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
  10. M

    David Kafulila: AFCON na CHAN zitumiwe na sekta binafsi na ile ya Umma kutengeneza ajira tujenge Viwanja vidogo vya mazoezi na Migahawa tutapa pesa

    ==== Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kafulila anasema...
  11. Mributz

    Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) yapangwa kundi B CHAN 2025

    Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za...
  12. GENTAMYCINE

    CAF wasifiche kuwa waliosababisha Michuano ya CHAN kusogezwa mbele kwa Kutokamilisha Miundombinu yao ni nchi ya Kenya

    Niwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda...
  13. Dalton elijah

    Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025

    Michuano ya CHAN ambayo ilipangwa kuanza kututuma vumbi kuanzia mwezi ujao Sasa imepigwa Danadana Mpaka mwezi August mwaka huu. Miongoni mwa sababu za Ratiba hiyo ni kutokukamilika kwa baadhi ya miundombinu kwa nchi ya Kenya, Tanzania na Uganda. Pia, CAF wametafuta Muda ambao mashindano yote...
  14. A

    CHAN 2025: Tanzania tusifanye makosa yanayayoendelea Zanzibar kujaribu wachezaji

    Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025. Ngoja niwaambie, Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe. Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
  15. Mchochezi

    Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  16. mdukuzi

    CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

    Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025 nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda Poleni wakenya
  17. enzo1988

    Wakati ukuta! Muonekano wa sasa wa Jackie Chan! Miaka 70.

    Wale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
  18. Mkalukungone Mwamba

    Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. “Tumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  19. Kipenzi Changu

    Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

    KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali. Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana. Liko wapi beki la CHAN
  20. Roving Journalist

    Morocco wajitoa kushiriki Michuano ya CHAN 2023 kutokana na mgogoro wake na Algeria

    Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani wamechukua uamuzi huo kutokana na kutokubaliwa kupata ndege ya kuwatoa moja kwa moja Morocco hadi Algeria. Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Nchi hizo mbili siyo mzuri tangu Mwaka 2021, ambapo hata safari za...
Back
Top Bottom