chan

Chan Kong-sang (listen) (Chinese: 陳港生; born 7 April 1954), known professionally as Jackie Chan, is a Hong Kong martial artist, actor, stuntman, film director, action choreographer, screenwriter, producer, and singer. He is known in the cinematic world for his slapstick acrobatic fighting style, comic timing, use of improvised weapons, and innovative stunts, which he typically performs himself. He has trained in Wushu or Kung Fu and Hapkido, and has been acting since the 1960s, appearing in over 150 films.
Chan is one of the most recognisable and influential cinematic personalities in the world, gaining a widespread following in both the Eastern and Western hemispheres, and has received stars on the Hong Kong Avenue of Stars and the Hollywood Walk of Fame. He has been referenced in various pop songs, cartoons, and video games. He is an operatically trained vocalist and is also a Cantopop and Mandopop star, having released a number of albums and sung many of the theme songs for the films in which he has starred. He is also a globally known philanthropist and has been named as one of the top 10 most charitable celebrities by Forbes magazine. In 2004, film scholar Andrew Willis stated that Chan was "perhaps" the "most recognised star in the world". In 2015, Forbes estimated his net worth to be $350 million, and as of 2016, he was the second-highest paid actor in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  2. DuaZaMama

    Full Time: Central Africa Republic 0-0 Tanzania | Mechi ya kundi 'B' CHAN 2024 | Mkapa Stadium | Agosti 16, 2025 | Saa 2:00 Usiku

    Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B. Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua...
  3. Uwesutanzania

    Kinachoendelea CHAN 2024 ichukuliwe miongoni mwa maajabu saba ya Duniani

    Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa, Tuseme ndio mcheza kwao, Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa? Maana imekuwa ni maajabu Tanzania aongoze kundi lenye...
  4. Kichuguu

    CHAN 2024: Tanzania (bara) inatia aibu

    Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia ! Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya Nyayo...
  5. peace2007

    CAF yasimamisha uuzaji wa tiketi za mechi za CHAN katika uwanja wa Kasarani Kenya

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli. Haya yanajiri muda mfupi tu baada ya CAF kulitoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) faini ya Ksh...
  6. Saguda47

    Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN 2024

    Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini? This is not a good move. Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿 CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa. Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
  7. DuaZaMama

    FT' Mauritania 0-1 Tanzania | Mechi ya kundi 'B' CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 6, 2025 | Saa 2:00 Usiku

    Hii leo Katika Uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa, Tanzania (Taifa Stars) itacheza na Mauritania kwenye mechi ya Kundi 'B' katika Michuano ya African Nations Championship (CHAN), ikiwa ni mechi ya pili ya Kundi baada ya kuanza kwa Tanzania kwa ushindi wa 2‑0 dhidi ya Burkina Faso siku ya Ijumaa...
  8. Chibike

    Namshauri Bilionea Patrice Motsepe Rais wa Heshima wa CAF afute michuano hii ya CHAN

    Michuano Gani ambayo Haina shamrashamra, michuano inafanyika kwenye nchi ambayo watu hawana muda, marketing iliyofanyika ni ya kiwango Cha chini sana, Yan mtu anaetoka ulaya akija hawez kujua kabisa kwamba Kuna michuano ya mpira wa miguu inafanyika nchini, Naona kabisa bilionea Motsepe ataifuta...
  9. Ad majorem

    Je, Tanzania haikujiandaa kuwa mwenyeji wa fainali za Chan, 2025?

    Kwa Wananzengo wenzangu. Kama mnavyofahamu kipenga cha kufungua Michuano ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN kwa mwaka 2025, kinapulizwa leo kwenye ardhi ya Kambarage wa Butiama. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali hizi. Lakini katika hali ya...
  10. Waufukweni

    Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Wakuu! Leo Agosti 2, 2025 pazia linafunguliwa rasmi kwa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, ambapo Tanzania itavaana na Burkina Faso katika mchezo wa ufunguzi utakaochezwa saa 2:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Michuano ya CHAN...
  11. bro alex

    CHAN 2024.(uchambuzi na maoni ya mechi zote) hapa

    Kwanini CHAN 2024 na si 2025. Ratiba ya kalenda ya caf huwa ni kila baada ya Miaka miwili, HII ni chan ya 8. Haijalishi huchezwa wakati upi MWAKA uhesabiwa kwa kufatana baada ya miaka miwili. Chan ilipangwa kuchezwa Februari 2025. Januari 2025 Ilisogezwa mbele sababu miundo mbinu haikua tayari...
  12. T

    Mbali na Azam TV, Je, TBC nao watarusha matangazo ya CHAN?

    Ukiangalia kwa apa kwetu nchini TBC ndo televisheni ya TAIFA,na hii michuano ni mikubwa barani Africa na mpaka Sasa Azam na dstv washatangaza tayari wataonyesha swali ni je TBC wataonyesha hii michuano?
  13. uran

    Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza. Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu...
  14. Just Pray

    Gari aina ya TATA liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Stars michuano ya CHAN lateketea kwa moto

    Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu. Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla gari kuwaka moto msafara wakati msafara ukiwa unakaribia mkoani Shinyanga.
  15. Akhi

    Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  16. bro alex

    CHAN Kenya all Tickets sold out, Tanzania mhhhh!!!!

    Kelele nyingi, oohh ligi yetu ni Bora,mashabiki hujaza viwanja. Kujaza uwanja timu ya taifa eti mpaka hamasa, wakenya hawanaga hizo, jamaa wametisha sana hongereni wakenya.
  17. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufungua CHAN 2024 Kwa Mkapa. Angalia Msigwa na Mwijaku walivyotoa burudani

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024, yanayotarajiwa kuanza rasmi Agosti 02, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Amebainisha hayo Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  18. Mwanga wa Jua

    Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
  19. Waufukweni

    Unakionaje kiwango cha Taifa Stars katika mashindano ya CECAFA kuelekea CHAN 2024?

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi katika mechi zake mbili za kirafiki, kwenye michuano ya CECAFA 3 Nations Tournament ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani ya Nchi (CHAN) 2024 zinazotarajiwa kuanza Agosti 2. Tanzania...
  20. A

    Kama Mwalimu Moroko ataacha kutupangia line up yake kwa majaribio Tanzania ana kila sababu ya kutwaa UBINGWA Wa CHAN Kwa mara ya kwanza

    Stars haijawahi tu kuwa serious na CHAN tofauti na ilivyoshiriki kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya mzee Marcio Maximo na Ally Bushiri. Tumefuzu Afcon 2025 kwa kuzifunga nchi zilizotumia wachezaji kutoka ulaya huku sisi tukiwa tunacheza humuhumu... Tulifungwa na Morocco na DRC tu. Wakati...
Back
Top Bottom