chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta wanaosutwa na nafsi zao kwa kulisaliti taifa kwa ushabiki wao kwa chama

    Kama mjuavyo ndugu zanguni wahenga wana msemo wao usemao neno "ningejua huja mwisho wa jambo" Nimetafakari sana hali ya kimaisha inavyoenenda nikaona kabisa iko haja ya kupitia upya mienendo yetu ya ushabiki wa kisiasa. Inavyoonekana licha ya unyeti wa majukumu ya kisiasa tunayowakabidhi...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wameuza utu na Chama chao. Je, watapata nini 2025?

    Je, CCM ya ,, wenyewe“ itawapa walichoahidiana 2025 au itawasaliti ? Chadema watafanyaje watamwaga mboga? Kwani ukweli ni kwamba hawatapata kitu kutoka kwa ,,wenye Chama“ . Kesi ya Mbowe ni kiini macho, chadema wame-sale out, tena, walifanya kwa Lowasa sasa hivi wamefanya tena …
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

    Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania. Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza. Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka. CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila...
  4. JamiiForums Tanzania Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

    Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa. Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
  5. JamiiForums Tanzania Cloutus Chama hana thamani hii

    Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao. Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

    hamisi_kigwangalla SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aucho ni mchezaji class ya Chama, hawezi kucheza Yanga, msikilizeni Manara anavyosema!!

  8. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

    Msingi wake ukiwa ni aina ya Siasa anazozifanya kijana huyu Mzalendo wa kweli wa Taifa hili zimekizolea umaarufu na heshima kubwa ndani na nje ya nje Chama cha Mapinduzi kwa kipindi hiki kifupi tangu kuteuliwa kwake, Siasa zake za msimamo wa wastani na kuegemea zaidi kwenye kusikiliza...
  9. JamiiForums Tanzania Eti jamani huyu Chama tumpe jezi namba ngapi?

    Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama tumoe jezi namba ngapi jamani? NB Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
  10. JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna chama cha wataalam wa kilimo?

  11. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  12. JamiiForums Tanzania Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  14. JamiiForums Tanzania Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  15. JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yamkingia Kifua Jenerali Ulimwengu dhidi ya vitisho vya Spika Ndugai

  18. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  20. JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Asante na shukrani kwa Chama Chetu cha Mapinduzi

    KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI. Na Kenan L. Kihongosi KATIBU MKUU UVCCM Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema. Pili nakishukuru Chama Cha Mapinduzi sambamba na Mweyekiti wake ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…