chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Chama kubaki Simba ni dalili mbaya

    Chama is an amazing player no doubt. but he doesn't give everything to the team. to let a foreign player act like a coward and still keep him at any cost, simba has disciple issues. #These foreigners come to our league to improve our players. the moment he act like, he is bigger than the...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Lissu yupo sahihi sana kuhusu rushwa, huenda inatembea ndani ya chama

    Wakuu JF Bwaana awe nanyi popote mlipo. Hili andiko fupi sana wakuu. Katika mikukutano kama sio moja amesikika makamu mwenyekiti akilalamika uwezekano wa rushwa ndani ya chama na wengi walibeza kumbe mh lissu alimanisha kama ambavyo amekua akitoa hoja na watu zichukulia poa. Kuna uchaguzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Aucho katumwa na Chama. Simba jichanganyeni tena

    PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na milioni 500 wakati hana thamani hiyo.. Mimi niko nimekaa palee
  4. S

    JamiiForums Tanzania Aucho: Natamani kucheza na Chama Yanga Sc

    "Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi. Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama Chama tangu nikiwa misri." Aucho aliongea hayo akijibu swali la mwandishi juu ya tetesi za chama...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

    Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala! Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chama, Kibu na Mickson kama wako vizuri wacheze vs KMC, gemu ni ngumu sana hiyo viongozi wa Simba

    Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
  8. JamiiForums Tanzania Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini. Waislam wao muda wote kuwaza fujo na...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi ni kizuri kama nini! Tuone nini ni nini?

    Na Comrade Ally Maftah Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini? NIININIH NI! 1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri. 2. MATUMIZI...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  13. JamiiForums Tanzania Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

    Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je, Mdee baada ya kusemekana kushawishi wenzake wanataka kurudi kuomba Msamaha CHADEMA , tunajiuliza...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chama cha Ngumi za kulipwa wakiongozwa na Chaurembo Palasa Wasimamishwa

    Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi. Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini. Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi wa ngumi za kulipwa unaongoza kwa kuwabeba mabondia wazalendo bila aibu yoyote, hata wanapopigwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa wa nyakati zijazo na CHADEMA ndio chama chetu

    Kati ya mambo mengi ambayo kwayo Tundu Lissu atakumbukwa nayo ni ushujaa wake katika kutetea ukweli. Lissu hana unafiq na yupo tayari hata kufa ili kutetea ukweli. CHADEMA tuna hazina kubwa sana kupitia kwa mwanasiasa huyu machachari Tundu Lissu na tunapaswa kumuunga mkono, ameonesha njia! Huu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kama Mgunda anaokoteza wachezaji na anapata matokeo angekuwa na akina Babacar, Chama, Kibu, Saido ingekuwaje?

    Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa kawaida mno lakini Simba inapata matokeo chini ya Mgunda, kwa mfano kule Namungo nilivyoona listi na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DC kutumia Ofisi ya Umma kwa mambo ya chama ni sawa?

    Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali za Umma, mali za serikali kutumika katika shughuli za Chama chochote cha kisiasa. Zinaweza kutumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…